Amina tuzidi muombea ashinde yoteRais wetu yupo imara kabisa.
Tunaomba Mungu aendelee kumuongoza afanye mambo makubwa zaidi kwa Taifa letu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amina tuzidi muombea ashinde yoteRais wetu yupo imara kabisa.
Tunaomba Mungu aendelee kumuongoza afanye mambo makubwa zaidi kwa Taifa letu.
Yaani majinga sana. Kwani binadamu kuumwa kuna tatizo gani!
Mkuu Wabongo wanafiki sana, Presidaa ameamua kuwatega, tayari wamemissHivi inakuaje wewe muda wote unafuatilia other people’s businesses ?
When do you get time to work on yourselves and your dreams?
Most Tanzanians are mentally sick people.
Ukosefu Wa ajira sababu ya sera mbovu ndo umepelekea watu kukaa vijiweni kudiscus umbea Wa kuombeana mabayaNadhani ni effect ya ukosefu WA ajira. Watu wangekuwa busy viwandani uzushi wa kipuuzi usingepewa kipaumbele.
Mataga mkiongozwa na Bashite jiandaeni kutagaRais wetu yupo imara kabisa.
Tunaomba Mungu aendelee kumuongoza afanye mambo makubwa zaidi kwa Taifa letu.
Nani katufikisha hapa ?
Wamemmiss,we ujui kwamba asipoonekana jukwaani hatuna rahakuumwa si shida shida ni kumsingizia mengine bila uhakika. Hivi kesho akionekana yupo fiti mtaweka sura yenu wapi?
Kweli humuweka mtu huru. Watu wangepewa ukweli haya mambo yasingekuwepo. Tizama suala la Kitaifa linajadiliwa Kiitikadi ya Vyama. Aliyetufikisha hapa sijui ni nani nae tumuite Mhaini....hakika mkuu kumtangazia kiongozi mkuu wa nchi uzushi wa namna hii nisawa na uhaini...sheria ichukue mkondo wake ili iwe fundisho kwa wapumbavu wengine
Uko sahihi lakini siyo haki ya kikatiba, by the way kila Mt anahitaji kuwa na privacy. Usishangae wote waliovumisha habari hizi wakachukuliwa hatua. Ni jambo la Busara kufahamisha umma ila sio jambo la lazima.
Makonda kaandika nini bwashee?!!
Rais yupo kwenye mapunziko ya kawaida ikulu dodoma, utamwona soon akipiga kazi
Hayo maneno akiyasikia Bashite, Sambayi na Muro wanaangua kilio utadhani kuna msibaPole ni sana MATAGA, mama suluhu atakuja na safu mpya, na Sera mpya sio Sera zenu za kishambaa, mtajiri wawe masikini, kuteka kutesa, kuua kubambika kesi Kutakoma kabisa. Mama lazima afufue mchakato wa katiba mpya
Kaandika hiki hapa:Makonda kaandika nini bwashee?!!