Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Hivi inakuaje wewe muda wote unafuatilia other people’s businesses ?
When do you get time to work on yourselves and your dreams?

Most Tanzanians are mentally sick people.
 
kuumwa si shida shida ni kumsingizia mengine bila uhakika. Hivi kesho akionekana yupo fiti mtaweka sura yenu wapi?
Wamemmiss,we ujui kwamba asipoonekana jukwaani hatuna raha
 
...hakika mkuu kumtangazia kiongozi mkuu wa nchi uzushi wa namna hii nisawa na uhaini...sheria ichukue mkondo wake ili iwe fundisho kwa wapumbavu wengine
Kweli humuweka mtu huru. Watu wangepewa ukweli haya mambo yasingekuwepo. Tizama suala la Kitaifa linajadiliwa Kiitikadi ya Vyama. Aliyetufikisha hapa sijui ni nani nae tumuite Mhaini.
 
Uko sahihi lakini siyo haki ya kikatiba, by the way kila Mt anahitaji kuwa na privacy. Usishangae wote waliovumisha habari hizi wakachukuliwa hatua. Ni jambo la Busara kufahamisha umma ila sio jambo la lazima.

Wananchi wanategemea kuongozwa na serikali na watu wenye busara!!! Are you implying that our leaders lack BUSARA?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…