Musee anachapa kasiView attachment 1238404
Mzee baba mbona hata yeye baada ya akina Ben na Azori kupotezwa alisema anatamani kuwa mkuu wa malaika?Alafu baadae unawaona makanisani, misikitini!! Mkemea maovu hukemea kila uovu. Hao wanaharakati wanataka wao tu watendewe haki lakini haki za mahasimu wao wanataka hukumu hata za kufa kwa chuki tu!
Aisee... Yani moyo unapata kiraruraru nikisoma comments ka hizi....Kama Msigwa hajasema basi ni kweli hali ya Rais wenu ni tete sana.
Nchi hii ina watu wa ajabu sana.Ni haki yao kikatiba kuwa huru kutoa maoni yao.Hata magufuli, wewe mtoa mada,Ndugai,ccm na waovu wote mnamtakia mabaya Lissu kwa kuwa ni haki yenu basi tunawaacha.
Ila kiubinadamu au kwa sisi waungwana hatupendi mtu awaye yeyote afe au aumie.
Biblia imesema Mungu hapendi mwovu awaye yeyote afe katika uovu wake.Magufuli na ccm wengi wao ni waovu kwa hiyo hagupendi mfe bali mwache maovu yenu na mweke nchi mbele kuliko chama.
AMINA..Mungu mpende zaidi
Taasisi ya Urais imefanya uteuzi!Musee anachapa kasiView attachment 1238404
SawaKufanyaje?