Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Kama Msigwa hajasema basi ni kweli hali ya Rais wenu ni tete sana.
 
Mficha marathi KIFO kitamuumbua. Waache tu waendelee kuficha, hadi kifo kitakapokuja kumchukua.
 
Sisi twajua ni mgonjwa hapo wamejaribu kufanya publicity ili ionekane yupo safi.
Teuzi zote zinafanywa na yeye hivyo sishangai
 
Alafu baadae unawaona makanisani, misikitini!! Mkemea maovu hukemea kila uovu. Hao wanaharakati wanataka wao tu watendewe haki lakini haki za mahasimu wao wanataka hukumu hata za kufa kwa chuki tu!
Mzee baba mbona hata yeye baada ya akina Ben na Azori kupotezwa alisema anatamani kuwa mkuu wa malaika?
 
Huu uzi daa unakimbia balaa, lakini kifo sio kizuri hata kama mtu humpendi wala kumuhitaji
 
Ni haki yao kikatiba kuwa huru kutoa maoni yao.Hata magufuli, wewe mtoa mada,Ndugai,ccm na waovu wote mnamtakia mabaya Lissu kwa kuwa ni haki yenu basi tunawaacha.

Ila kiubinadamu au kwa sisi waungwana hatupendi mtu awaye yeyote afe au aumie.
Biblia imesema Mungu hapendi mwovu awaye yeyote afe katika uovu wake.Magufuli na ccm wengi wao ni waovu kwa hiyo hagupendi mfe bali mwache maovu yenu na mweke nchi mbele kuliko chama.
Nchi hii ina watu wa ajabu sana.
Na tatizo la vijana wetu wengi walipenda short cuts to successful,
Sasa alipokuja msimamizi ndio hii hali tunayoiona hapa.
Hao niliowaona pale twitter wengi wao ndio hao waliokuwa na vi NG'OS vyao.
Lakini zama zilipobadilika sasa ni sumu tupu.

Lakini awali ya yote msimamizi wa uhai wa binadamu ni MUNGU mwenyewe so usishangae ndani ya muda mfupi ujao hao washereshaji wakatangulia wao.
Ni akili ya kijinga xana kumfurahia umauti binadamu mwenzako.
Tena kwa sababu za kiwizi wizi tu.
Anyway yote tumuachie mola.
 
Siyo hekima kuyafurahia matatizo ya mwenzako hata kama mnatofautiana kwa kiwango gani.wote sisi tuna mabaya yetu hata watoto wetu kwenye familia zetu sometimes kuna wakati wanatuchukia ila hawatuombei mabaya kama tunavyojaribu kuwaombea wenzetu.

Tuwe na mioyo tusiongozwe na hisia!!;
 
Siyupo Lindi au na nasikia pana uteuzi umefanyika Leo si Mzee kaufanya au
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom