Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Sure
 
Hata JK aliwahi kuombewa itikafu ili afe, ila leo tunaambiwa na rais bora kuwahi tokea. Hakuna jipya kwa akili za watanzania

Onyesha popote nilipowahi kumsifia JK akiwa madarakani au akiwa ametoka. Mimi sio bendera fuata upepo.
 
kwa barua ya msigwa?
 
Tangia Jana nimeupima ukomavu wa kiakili wa watanzania wengi, kweli tuna safari ndefu. Niliowadhania miaka ya mbele wanaweza kuliongoza Taifa hili, wamethibitisha uchanga wa kifikra na utoto wao.
 
Watapotea wao na nitashangilia!
 
Ulishangilia au kuchukizwa na kitendo cha kumpiga risasi Tundu Lissu?
Tuanzie hapo mengine yafuate.
 
Siku zote wahenga husema mkuki kwa Nguluwe kwa binadamu kazi
Kunawakati watu tunaona kama upande tulio po Sisi ndio mzuri hata wengine walalmike vp tunaona sio chochote
Sasa wao nao wanaombea nanyi mpate shida ndio maana wanafurahia mabaya ya upande mwingine
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…