Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Chukua time wewe, tuache na Kigogo wetu, hata akitudanganya tunafarijika kuliko matusi na vichambo vya Jiwe.

Wewe mwenyewe kwanza nawe umeamini ndiyo maana una comment.
 
Acha ashangilie ila hilo analotegemea halitatokea.
Hata kama halitokei leo, ila ujue liko njiani. Watu wanaoteseka kwa chuki ya huyu Jiwe ni wengi. Machozi yao, manung'uniko yao na damu zilizomwagika Mungu anaziona.

Hivi kweli ni sawa kuwatoa kazini anaowaita vyeti feki na kumuacha Bashite? Kweli ukipiga goti iko siku Mungu wetu aliye hai atasikia.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…