Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
itakuwa ni wale 800 wa kanda ya ziwa walotaka kumroga atakayeonesha nia kumpinga MWAMBA.

Watu walikemea mkawaona wajinga! sasa leo kelele za nini???😂😁😁😀😀😄😄
 
Acha uchuro we mganga.

Kwani nani hataugua maisha yale yote?

Kwani nani ataishi milele na hatakufa?
Ni vyema sana kuyajua haya, hata kama yanakumbukwa kwa nadra wakati shida za aina hiyo zinapowapata wanaodhani wao wako juu ya masaibu kama hayo wakati yakiwatokea wengine, na hata pengine wao ndio kuwa wasababishaji kwa wengine.
 
Mkuu tuache unafiki, afya ya kila mtanzania ni muhimu kwa ujenzi Wa taifa letu.tuache ubaguzi...
 
Jamani hivi kumuombea mtu mabaya ni kosa kisheria, na kama ni kweli huwa inathibishwaje na kuwatia watuhumiwa nguvuni maana maombi si lazima kupayuka.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…