Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Waambie wale wazee wa Gamboshi wajibu mapigo.
 
Dah wametuchomesha sana mahindi. Mbona breaking news haiji?
 
ameshakufaaa


Sote tumezaliwa wajinga, tunahitaji bidii kidogo ili kuwa na maarifa, au bidii kubwa sana ili kuendelea kubaki wapumbavu. Baadhi huchagua njia ya pili.” *Benjamin_Franklin* Tuacheni petty politics zinazoongwa na Taarifa za Ramli na kuombea tusiowapenda Mabaya
 
Roho mbaya ya watanzania uiitayo wewe imetengenezwa na huyo huyo JIWE...."what goes around........"

Roho nzuri haihesabu mabaya mkuu, ukishakua hivyo ni nini tofauti ya roho mbaya na nzuri?

Lakini kingine kibaya zaidi, kusadiki na kufurahia habari tusizokua na uhakika nazo inatufaidia nini?
 
Mzuqa!

Hii Lugha ya malkia kweli ilikuja na meli. Hule mlingoti wa kupeperusha bendera nilidhani unaitwa tu flagpost kwa Kiingereza kumbe hata jina la mast linatumika kwa mfano the flag is flying half mast yani nusu mlingoti.

Aidha Kiingereza kinachanganya zaidi unaweza kutamka neno moja lakini ikawa na tofauti katika maandishi mfano morning na mourning.

Waiter kaa stendby!



Cc Etwege Magonjwa Mtambuka
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…