Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Kumuamini kigogo na stori zake za kutunga tunga ni kujikosea heshima.

Watanzania amkeni. Sio kila mtu anastahili attention yenu. Hao wapuuzi type ya kigogo wamegundua vilaza wengi wanaotumia mitandao wanapenda story za umbea umbea na wao wanapita humo humo.

Samahani mkuu, Kigogo alisema Ofisi ya DPP watu wameondoka na CPU na kweli leo Mambosasa na magazeti machache wameandika habari hiyo hivyo Kigogo hatungi habari bali anaziibua kwa wakati muafaka na jinsi inavyotakiwa kwani habari nyingi siku hizi zinachelewa au hazitoki kabisa kutokana na sheria zinazobana magazeti na kutokuwa huru hivyo usichukie watu kumsikiliza Kigogo zaidi kuliko Magazeti, Radio na TV zetu,
 
Kwann ume mtag uyo mzee nin Tafsir gan
Hakuna kitu kama hicho hapo chini. Huyu anataka kuona reaction za watu!


37.-.
(5) Endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi kutokana na Rais kufariki dunia, kujiuzulu, kupoteza sifa za uchaguzi au kutomudu kazi zake kutokana na maradhi ya mwili au kushindwa kutekeleza kazi na shughuli za Rais, basi Makamu wa Rais ataapishwa na atakuwa Rais kwa muda uliobaki katika kipindi cha miaka mitano na kwa masharti yaliyoelezwa katika ibara ya 40, kisha baada ya kushauriana na chama cha siasa anachotoka Rais atapendekeza jina la mtu atakae kuwa Makamu wa Rais na uteuzi huo utathibitishwa na Bunge kwa kura zisizopungua asilimia hamsini ya Wabunge wote. Baba Swalehe
 
Utakuwa umeishia darasa la pili E
Hata kama halitokei leo, ila ujue liko njiani. Watu wanaoteseka kwa chuki ya huyu Jiwe ni wengi. Machozi yao, manung'uniko yao na damu zilizomwagika Mungu anaziona.

Hivi kweli ni sawa kuwatoa kazini anaowaita vyeti feki na kumuacha Bashite? Kweli ukipiga goti iko siku Mungu wetu aliye hai atasikia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom