Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Wakuu salaam,

Weekend imefika na imekuja na mambo yake. Wengine wanashangilia, wengine wanasikitika. Wengine wanatafakari huku wengine wakiwa hawajui kinachoendelea.

Mvua zinaweza kuja na baraka kwa wengine na wengine zikawaletea balaa.

Lakini, yote kheri - maombi ni muhimu katika nyakati kama hizi.

I will be back...
Tumekuelewa Mpeni Mungu nafasi tuache mambo ya rambling na kutafuta attention na mm nitarudi kusoma
 
Na Mungu anamuumbua tu kutuonyesha ubovu wake. Hii ni mara ya 4 anaanguka. Alianguka Ngerengere mwaka 2016 mara 1 na Ikulu mara 2 mwaka 2015 hii ilikuwa kali na bado.

Mpaka wale vidomo domo akina Mkamia wanaosema aongezewe muda wa kutawala waone haya. Utamuongezeaje muda spanner mkononi? Kwani hii ni Gabon inayoongizwa na mtu mwenye stroke (kiharusi)
Utakufa wewe na vigimbi vyako,yeye akiendelea kudondoka na kusimama.

Mtu mzima mwenye miaka zaidi ya 55,asiyepumzika sawa sawa unashangaa akianguka!!!!

Chuki zenu kwake zimemaliza mpaka uwezo wenu wa kufikiri,hata hata akichapia,mnadhani ni laana[emoji849][emoji849][emoji849]hovyo kabisa.
 
Tatizo lake dogo ni kwamba ana roho mbaya na ubinafsi..
 
Wenye roho mbaya wamezuia wema wasiongee hadharani

Haya ndio matokeo ya kuendekeza roho mbaya.

Ipo siku hasira za wanachi zitafika rank ya juu kabisa na kuchemka.
Hasira zenu watu 1000 mtandaoni
 
Mvu
Hapo ndo nimefunguka kidogo mkuu. Nikirejea nafunguka kikubwa, mamlaka zinafanya kazi kuhakikisha usalama unakuwepo. Mvua hizi si nzuri kwa walio wengi ingawa wengine (ambao ni wengi pia) inaonekana ni baraka kwao
Mvua ni Maji...Maji ni uhai
 
Na Mungu anamuumbua tu kutuonyesha ubovu wake. Hii ni mara ya 4 anaanguka. Alianguka Ngerengere mwaka 2016 mara 1 na Ikulu mara 2 mwaka 2015 hii ilikuwa kali na bado.

Mpaka wale vidomo domo akina Mkamia wanaosema aongezewe muda wa kutawala waone haya. Utamuongezeaje muda spanner mkononi? Kwani hii ni Gabon inayoongizwa na mtu mwenye stroke (kiharusi)
Mhhhh,,,,, , !!!????
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom