Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Heshima kwenu wakuu,

Kuna habari zinasambaa kwamba Rais wa Tanzania John Magufuli anaumwa wengine wanasema amekatiza Ziara huko Kusini ili kushughulikia Masuala mengine ya Kitaifa. Hili sina tatizo nalo.

Kinachoniumiza na kunitatiza ni kuona Taasisi ya Rais akiwemo Msemaji Mkuu wa Ikulu na Msemaji wa Serikali kutokanusha au kuweka sawa habari hizi zinazosambaa na kuacha watu waendelee kumsema vibaya Rais wetu. Ukiacha uongo ukaendelea kuongelewa unageuka kuwa kweli.

Rais sio mali ya Ikulu bali ni mali ya Watanzania wote wa vyama vyote, dini zote, rangi zote na Makabila yote.

Msemaji wa Ikulu, Gerson Msigwa huwa ni mwepesi kukanusha na kutupa update za Rais. Ajitafakari kwa hili kama vipi ajiuzulu tu. Kazi imemshinda ya kuwatumikia Watanzania.

Tunapata wakati mgumu kuelewa.

Kama anaumwa sio jambo la kushtua pia kwani maradhi kwa binadamu ni kawaida, kama anaumwa ni haki wananchi wake wakajulishwa na maendeleo yake yakaelezwa kwa uwazi.

Tumefanya hivyo kwa Baba wa Taifa Nyerere, Askofu Mkuu Mwandamizi Yuda Thadeus Ruwa'ichi, Benjamin Mkapa, Kikwete alipoumwa Tezi dume akiwa Rais na wengine wengi.

Kama yu mzima wa afya tujulishwe ili roho zetu zitulie.

Ni haki yetu kujua Rais alipo na maendeleo yake sababu anaishi kwa kodi zetu na tulimchagua wenyewe ndio maana Televisheni ya Yaifa inamuonesha popote aendapo bure ili wananchi wajue anachofanya Rais wao.

Hata kama kapumzika Ikulu, hakuna sababu ya kuzua taharuki.

Tunajua Rais wetu anapenda mpira hasa timu ya Taifa, Jana timu yetu imeshinda na kufuzu Michuano ya CHAN, hatujaona anapongeza na kushangilia kama kawaida yake.

Hata Msemaji wa Ikulu hajatuma picha akiangalia mpira wa watoto wake kama kawaida yao.

Tunamtaka Rais wetu.

Asanteni sana

TUJIKUMBUSHE;

"Taifa Stars wameipa heshima nchi yetu. Leo nimeona mpira, sio ule wa siku za nyuma."- Rais Dkt Magufuli akifurahia Tanzania kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika #AFCON2019
View attachment 1238150
Nina uhakika Rais wetu ni mzima wa afya. Tuache kuwaweka watu kwenye TAHARUKI. Yeye mwenyewe alishasema hawezi kuondoka leo kwa kuwa akiondoka SGR, STIGLERS GORGE na VITUO VYA AFYA havitajengwa na pia NDEGE hazitanunuliwa.
 
Kuna mtu anaweza kutueleza sababu zilizopelekea kutangazwa kuwa Mkwere alipokuwa angali Rais kuwa alikuwa na maradhi ya TEZI DUME? Sababu kubwa Ilikuwa kwa vile RAIS ni mali ya wananchi hivyo kuna kila sababu wananchi wake kujua juu ya afya yake. Kuficha maradhi yanayomsibu kiongozi wa nchi ndio sababu kubwa ya wananchi kuanza kueneza uzushi usiokuwa na maana yeyote. Kama kweli JPM ni mgonjwa na mnaficha siku ya siku mtakuja kuumbuka; na hilo halitakuwa jambo jema kwani mtakuwa hamjawatendea haki wananchi waliomuweka madarakani!
 
Heshima kwenu wakuu,

Kuna habari zinasambaa kwamba Rais wa Tanzania John Magufuli anaumwa wengine wanasema amekatiza Ziara huko Kusini ili kushughulikia Masuala mengine ya Kitaifa. Hili sina tatizo nalo.

Kinachoniumiza na kunitatiza ni kuona Taasisi ya Rais akiwemo Msemaji Mkuu wa Ikulu na Msemaji wa Serikali kutokanusha au kuweka sawa habari hizi zinazosambaa na kuacha watu waendelee kumsema vibaya Rais wetu. Ukiacha uongo ukaendelea kuongelewa unageuka kuwa kweli.

Rais sio mali ya Ikulu bali ni mali ya Watanzania wote wa vyama vyote, dini zote, rangi zote na Makabila yote.

Msemaji wa Ikulu, Gerson Msigwa huwa ni mwepesi kukanusha na kutupa update za Rais. Ajitafakari kwa hili kama vipi ajiuzulu tu. Kazi imemshinda ya kuwatumikia Watanzania.

Tunapata wakati mgumu kuelewa.

Kama anaumwa sio jambo la kushtua pia kwani maradhi kwa binadamu ni kawaida, kama anaumwa ni haki wananchi wake wakajulishwa na maendeleo yake yakaelezwa kwa uwazi.

Tumefanya hivyo kwa Baba wa Taifa Nyerere, Askofu Mkuu Mwandamizi Yuda Thadeus Ruwa'ichi, Benjamin Mkapa, Kikwete alipoumwa Tezi dume akiwa Rais na wengine wengi.

Kama yu mzima wa afya tujulishwe ili roho zetu zitulie.

Ni haki yetu kujua Rais alipo na maendeleo yake sababu anaishi kwa kodi zetu na tulimchagua wenyewe ndio maana Televisheni ya Yaifa inamuonesha popote aendapo bure ili wananchi wajue anachofanya Rais wao.

Hata kama kapumzika Ikulu, hakuna sababu ya kuzua taharuki.

Tunajua Rais wetu anapenda mpira hasa timu ya Taifa, Jana timu yetu imeshinda na kufuzu Michuano ya CHAN, hatujaona anapongeza na kushangilia kama kawaida yake.

Hata Msemaji wa Ikulu hajatuma picha akiangalia mpira wa watoto wake kama kawaida yao.

Tunamtaka Rais wetu.

Asanteni sana

TUJIKUMBUSHE;

"Taifa Stars wameipa heshima nchi yetu. Leo nimeona mpira, sio ule wa siku za nyuma."- Rais Dkt Magufuli akifurahia Tanzania kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika #AFCON2019
View attachment 1238150
Acha unafiki! Habari mbaya kwako Mkuu wa nchi yuko salama, yupo anapumzika baada ya ziara ndeefu mikoa tata ya Lindi, Mtwara,Katavi na Sumbawanga!
 
..wee usiombee jambo hilo sisi wanyonge tutapata tabu sana miaka 60 yote hakuwai kutokea mtu wakutusemea kututetea na kutujali nchi ilikua mikononi mwa majizi ya kila namna..eee mola wangu ibaliki nchi yetu rais wetu na wananchi wote.Amina
Mnyonge ni wewe, wazazi wako, ndugu zako na watoto wako. Acha kuwavika unyonge watanzania majasiri.
#MimiSioMnyonge

Mungu yupo upande wetu, sisi siyo wanyonge. Ushindwe na harakati zako za kuwavika unyonge watanzania.
 
Kama amefanya Mema mengi unafikiri ni kwa nini wafurahie Habari mbaya juu yake Mkuu ?
Mema na mabaya ya mtu hayathibishwi na mapokeo ya watu, it's a factual logic not judgemental.
 
Ndani ya masaa kadhaa baada ya uvumi kuenea kuwa rais wa jamhuri ya watu wa Tanzania anaumwa Mafisadi waliokuwa wanaiibia nchi ya Tanzania wamefurahi na hata kumuombea mabaya zaidi.

Hii ni kwa sababu Mzee Magufuli amedhibiti mianya yote ya ubadhirifu na wizi ndani ya serikali.

Habari hazina uhakika kama anaumwa au la lakini mafisadi na wasio wazalendo wanamuombea mabaya yamkute rais wa wanyonge.

Hii inadhihirisha ni namna gani Rais Magufuli amewadhibiti.Mungu yupo maana leo nimesikia wazee wa miaka zaidi eya sabini wanasema Tangu tupate uhuru ni JKN na JPM tu ambao wamediliki kupambana na wezi.

Na Mungu atamlinda JPM.Wanadhani asipokuwepo duniani watarudi kule walipozoea kuibia Tanzania.
 
Kuna mtu anaweza kutueleza sababu zilizopelekea kutangazwa kuwa Mkwere alipokuwa angali Rais kuwa alikuwa na maradhi ya TEZI DUME? Sababu kubwa Ilikuwa kwa vile RAIS ni mali ya wananchi hivyo kuna kila sababu wananchi wake kujua juu ya afya yake. Kuficha maradhi yanayomsibu kiongozi wa nchi ndio sababu kubwa ya wananchi kuanza kueneza uzushi usiokuwa na maana yeyote. Kama kweli JPM ni mgonjwa na mnaficha siku ya siku mtakuja kuumbuka; na hilo halitakuwa jambo jema kwani mtakuwa hamjawatendea haki wananchi waliomuweka madarakani!
Uko sahihi lakini siyo haki ya kikatiba, by the way kila Mt anahitaji kuwa na privacy. Usishangae wote waliovumisha habari hizi wakachukuliwa hatua. Ni jambo la Busara kufahamisha umma ila sio jambo la lazima.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom