Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema wewe sasa yuko wapi?Wewe ni Gerson Msigwa??
Rais yupo kwenye mapumziko mafupi
Hawa wataapishwa lini? Au hakuna kuapishanaMusee anachapa kasiView attachment 1238404
[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji3][emoji3][emoji22][emoji22][emoji22]Hakuna kitu kama hicho hapo chini. Huyu anataka kuona reaction za watu!
37.-.
(5) Endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi kutokana na Rais kufariki dunia, kujiuzulu, kupoteza sifa za uchaguzi au kutomudu kazi zake kutokana na maradhi ya mwili au kushindwa kutekeleza kazi na shughuli za Rais, basi Makamu wa Rais ataapishwa na atakuwa Rais kwa muda uliobaki katika kipindi cha miaka mitano na kwa masharti yaliyoelezwa katika ibara ya 40, kisha baada ya kushauriana na chama cha siasa anachotoka Rais atapendekeza jina la mtu atakae kuwa Makamu wa Rais na uteuzi huo utathibitishwa na Bunge kwa kura zisizopungua asilimia hamsini ya Wabunge wote. Baba Swalehe
Nini maana ya adui?!Kaandika hiki hapa:View attachment 1238401
Wewe hutakufa?Afe tu
My President is real. Mungu akupe Maisha marefu Mkuu.Musee anachapa kasiView attachment 1238404
Good wataapishwa lini mkuu? Au wakuu wa mikoa watafanya kwa niaba?My President is real. Mungu akupe Maisha marefu Mkuu.
God bless Tanzania, God bless Mr President. Amen
HakunaNani kafa?
Kwahiyo uteuzi umefanyikia Germany?Musee anachapa kasiView attachment 1238404
Tuache siasa za chuki na roho mbaya Watanzania wenzangu, siasa zisitufanye tukapoteza utu na uzalendo
Mmh....... Mambo ni magumu sanaKaandika hiki hapa:View attachment 1238401
Taarifa zitawajia zaidi, kuwa na amani.Good wataapishwa lini mkuu? Au wakuu wa mikoa watafanya kwa niaba?