Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Bado mtaendelea kuwaamini hawa watu wenu?😂
 
Musee anachapa kasi
IMG-20191019-WA0052.jpeg
 
Hakuna kitu kama hicho hapo chini. Huyu anataka kuona reaction za watu!


37.-.
(5) Endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi kutokana na Rais kufariki dunia, kujiuzulu, kupoteza sifa za uchaguzi au kutomudu kazi zake kutokana na maradhi ya mwili au kushindwa kutekeleza kazi na shughuli za Rais, basi Makamu wa Rais ataapishwa na atakuwa Rais kwa muda uliobaki katika kipindi cha miaka mitano na kwa masharti yaliyoelezwa katika ibara ya 40, kisha baada ya kushauriana na chama cha siasa anachotoka Rais atapendekeza jina la mtu atakae kuwa Makamu wa Rais na uteuzi huo utathibitishwa na Bunge kwa kura zisizopungua asilimia hamsini ya Wabunge wote. Baba Swalehe
[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji3][emoji3][emoji22][emoji22][emoji22]
 
My President is real. Mungu akupe Maisha marefu Mkuu.

God bless Tanzania, God bless Mr President. Amen
Good wataapishwa lini mkuu? Au wakuu wa mikoa watafanya kwa niaba?
 
Na likatokea la kutokea,na wengi wenu,kwa umoja wenu usio rasmi,
Tumewaona kule tweeter tangu jana na all day leo.

Ni kama kuna jambo mnalolishabikia kuhusu afya ya kiongozi fulani wa nchi hii.

Wanasiasa na wanaharakati uchwara kina fatma karume,zitto kabwe,maria sarungi na kundi lenu la kigogo!
Wote mko kule tena mkichagizana kama tukio zuri sana mnalisubiri litokee na ili furaha yenu itimie.

Kwa ushabiki ule mtakuja kulalamika na madhara uanayoweza kuwapata kutoka kwenye jamii ya watakaoudhika na aina ya ushabiki wenu,tena kwenye mambo ambayo inaelekea mnayajua nyinyi wenyewe kwa undani?

Anyway natoa angalizo na mod"s naomba msiufute uzi huu ili siku zijazo uwe shahidi wa ujinga wa baadhi ya watanzania wenzetu hawa wasiojitambua..

VIVA TANZANIA [emoji1241]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom