Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hapo germany ndo penye karakana?Kwahiyo uteuzi umefanyikia Germany?
Mungu Baba Fanya yako...God do your will
Uteuzi Nachingwea tayari huko.
Vipi Mjinga wenu kigogo anasemaje huko Twitter kwenye kijiwe cha wasio na kazi akina Maria Sarungi na Fatma Karume??
Jambo ambalo hamlijui Kigogo anawachota akili mkijaa tu anawabwaga kama yule demu wa USA Mange sijui ashapewa talaka aliyokuwa anaidai...??
Ndio wamebaki kuombana papuchi View attachment 1238457View attachment 1238458
Uzi unakimbia kweli kweli huu.