Acha ujinga wasiompenda magufuli mnao huko huko usiwasingizie wapinzani licha ya kuathirikarika na udikiteta wakeYuko vizuri sana kiafya. Endeleeni kujidanganya kama ilivyo yenu wapinzani njaa wa Tz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ujinga wasiompenda magufuli mnao huko huko usiwasingizie wapinzani licha ya kuathirikarika na udikiteta wakeYuko vizuri sana kiafya. Endeleeni kujidanganya kama ilivyo yenu wapinzani njaa wa Tz
Ndiyo maaana yakesisi wanaccm tulisubiri kwa hamu sana kifo cha Lissu,hata huyo mtu wenu alisubiri kwa hamu kifo cha lissu,basi sasa acha na wengine wasubirie kwa hamu kifo chake
Wee ni wa kupuuzwa tu.Tunakoelekea ni pazuri mno. Rais wetu anasimamia vyema mapato yatokanayo na rasilimali zetu. Waliozoea kujinufaisha nazo hawana furaha kabisa .
Kwani wanaokwenda wanakwenda kufanya nini?kaenda kufanya nini mkuu??
Angalieni na signAibu ya nini,wewe ulimuona wakati anateua hao watu?
Kwani wanaokwenda wanakwenda kufanya nini?
Daaaa angalau ujifiche kwanza hafu useme haya broafe tu maana na yeye ameua wengi afe kabisa kufa kabisa magufuli
Kinachofanyika sio kitu sahihi ,jambo ili angefanyiwa mkurugenzi wenu mngefuta nyuzi zote.
Mh anapendwa na watanzania.
Wewe hujapata nyongeza ya mshahara kwa miaka minne na bado umehamishiwa Dodoma na kumwacha mkeo mmeo Dsm roho inakuuma sana umeamua kumuombea magufuli mabaya kwa Mbinu ya kimafia.Ndani ya masaa kadhaa baada ya uvumi kuenea kuwa rais wa jamhuri ya watu wa Tanzania anaumwa Mafisadi waliokuwa wanaiibia nchi ya Tanzania wamefurahi na hata kumuombea mabaya zaidi.
Hii ni kwa sababu Mzee Magufuli amedhibiti mianya yote ya ubadhirifu na wizi ndani ya serikali.
Habari hazina uhakika kama anaumwa au la lakini mafisadi na wasio wazalendo wanamuombea mabaya yamkute rais wa wanyonge.
Hii inadhihirisha ni namna gani Rais Magufuli amewadhibiti.Mungu yupo maana leo nimesikia wazee wa miaka zaidi eya sabini wanasema Tangu tupate uhuru ni JKN na JPM tu ambao wamediliki kupambana na wezi.
Na Mungu atamlinda JPM.Wanadhani asipokuwepo duniani watarudi kule walipozoea kuibia Tanzania.