Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Aibu ya nini,wewe ulimuona wakati anateua hao watu?
Angalieni na sign
tapatalk_1571505702679.jpeg
 
Ndani ya masaa kadhaa baada ya uvumi kuenea kuwa rais wa jamhuri ya watu wa Tanzania anaumwa Mafisadi waliokuwa wanaiibia nchi ya Tanzania wamefurahi na hata kumuombea mabaya zaidi.

Hii ni kwa sababu Mzee Magufuli amedhibiti mianya yote ya ubadhirifu na wizi ndani ya serikali.

Habari hazina uhakika kama anaumwa au la lakini mafisadi na wasio wazalendo wanamuombea mabaya yamkute rais wa wanyonge.

Hii inadhihirisha ni namna gani Rais Magufuli amewadhibiti.Mungu yupo maana leo nimesikia wazee wa miaka zaidi eya sabini wanasema Tangu tupate uhuru ni JKN na JPM tu ambao wamediliki kupambana na wezi.

Na Mungu atamlinda JPM.Wanadhani asipokuwepo duniani watarudi kule walipozoea kuibia Tanzania.
Wewe hujapata nyongeza ya mshahara kwa miaka minne na bado umehamishiwa Dodoma na kumwacha mkeo mmeo Dsm roho inakuuma sana umeamua kumuombea magufuli mabaya kwa Mbinu ya kimafia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom