Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Dawa ya wachawi ni kuwamaliza kimya kimya na hiyo tabia itaisha..
 
Kwakweli nchi inahitaji maombi makubwa sana wachawi wameanza kuroga watu mchana kweupe mbuzi anakula majani bila aibu,ramli zinapigwa kweupe bila aibu,
Jamani wachawi hawa wakiachiwa na ulozi wao wanaweza kuuwa watu au kudhuru kweupe.
Ni vyema kila mmoja kwa dini yake akaongeza maombi kulishinda hili kundi hatari la wachawi!
Plus na wale wachawi wa Gambus, waliotoa onyo kwa yeyote atakayechukua fomu ya kugombea Urais mwaka 2020, wakitoa onyo kuwa watampoteza!
 
Mkuu wakati mwingine ukimya pia ni jibu zuri, huyu bibi ana tatizo katika ubongo wake ni vyema ukajifunza kumpuuza.

Hili saga litaondoka na wengi sana.
Huku kujimwambafy kwenu kwa kutishia tishia watu ndiko kunakopelekea watu washangilie hizi tetesi kwa vile wamechoka kutishwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom