Freema Agyeman
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 3,666
- 3,532
Nifafanulie please Kama hutojali
Ufafanuzi wa nini mamaa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nifafanulie please Kama hutojali
[emoji30][emoji30][emoji30]Tangu upande cheo
😀😀😀😀
Rudi MMU hapa hapakufaiOff topic.....Vyakula vya misibani sijui kwanini huwa vina ladha..pilau la msibani jamani ni tamu kweli kweli!
Bdw nimemis tu pilau..
Chochote kuanzia sasa [emoji40][emoji40][emoji40]Horror Movie!
Wakutetemeka Haya
Wakukimbia Haya
...........
Chochote kuanzia sasa
Sijamchulia mtu hapa mwenyewe niko mochwari
Ufafanuzi wa nini mamaa?
Plus na wale wachawi wa Gambus, waliotoa onyo kwa yeyote atakayechukua fomu ya kugombea Urais mwaka 2020, wakitoa onyo kuwa watampoteza!Kwakweli nchi inahitaji maombi makubwa sana wachawi wameanza kuroga watu mchana kweupe mbuzi anakula majani bila aibu,ramli zinapigwa kweupe bila aibu,
Jamani wachawi hawa wakiachiwa na ulozi wao wanaweza kuuwa watu au kudhuru kweupe.
Ni vyema kila mmoja kwa dini yake akaongeza maombi kulishinda hili kundi hatari la wachawi!
Hata kama njaa inauma? [emoji30][emoji30][emoji30]Chonde chonde usile nyama za watu huko mochwari!
Huku kujimwambafy kwenu kwa kutishia tishia watu ndiko kunakopelekea watu washangilie hizi tetesi kwa vile wamechoka kutishwa.Mkuu wakati mwingine ukimya pia ni jibu zuri, huyu bibi ana tatizo katika ubongo wake ni vyema ukajifunza kumpuuza.
Hili saga litaondoka na wengi sana.
Mwanangu bado mdogo sana na ananitegemea acha nikae kimya, ila kufikia jumatatu utapata majibu ya maswali yako.Tujuzane mkuu,sisi tusiojua mafumbo
Kwani nani ataishi milele na hatakufa?
Cc:Kipara KipyaMbona uzinduzi wa miradi wanatangaza kwanini hili liwe gumu kutangazwa.
Kitapita akifa ndugu yakoNimeshaandaa majogoo mawili makubwa. Any time soon kisu kitapita shingoni.
Jamani akirudi vile atakavowachamba wanaomwombea mabaya; hasira zitaturudia sisi wanyonge wananchi.Taharuki inazidi kuongezeka hapa nchini