digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Mungu msaidie rais wetu mpendwa jpm,wabaya wote washindwe kwa neno lako,na mabaya yote wanayomwombea yasimfike
Hili gumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili gumu
Nakuta ni vita kuu btn JiwelifeFigters na JiweLifeHaters
Kwani kunaaaaaaniiii?
Nawasihi waTANZANIA tuwe na subra
Tangu friji langu ligeuke la kuhifadhia nyanya badala ya samaki na kuku neno la bwana kitimie tu basi.
Hotuba ijayo ya mtukufu itakuwa moto lazima ateme cheche na vijembe kwa wingi
Hahaha UPEPO WA KISULISULI UMEISHA SASA TUANGALIE UMELETA NINI.
Mficha maradhi kifo.humuubua, yuko chali Germany, hao tiss wanajaribu kudivert attention
Akipata nguvu natamani apitie huu uzi kuna la kujifunza.HUU UZI UNAMPIMA ALIVYO VICHWANI MWA WATAWALIWA WAKE.
Nadhani hawa kina Kigogo hawajui wa tendalo! Wako kwenye research ambayo title yake hatuijui! Labda yaweza kuwa kusoma uzwazwa wa wabongo kubeba jambo lilivyo au la kusoma mood ya wabongo kwa muhusika
Mungu mpende zaidi
Aisee... Yani moyo unapata kiraruraru nikisoma comments ka hizi....
Huu uzi daa unakimbia balaa, lakini kifo sio kizuri hata kama mtu humpendi wala kumuhitaji
Sisi twajua ni mgonjwa hapo wamejaribu kufanya publicity ili ionekane yupo safi.
Teuzi zote zinafanywa na yeye hivyo sishangai
Mungu msaidie rais wetu mpendwa jpm,wabaya wote washindwe kwa neno lako,na mabaya yote wanayomwombea yasimfike
Tulia wewe mporipori fanya kazi wacha porojo.Mzuqa!
Hii Lugha ya malkia kweli ilikuja na meli. Hule mlingoti wa kupeperusha bendera nilidhani unaitwa tu flagpost kwa Kiingereza kumbe hata jina la mast linatumika kwa mfano the flag is flying half mast yani nusu mlingoti.
Aidha Kiingereza kinachanganya zaidi unaweza kutamka neno moja lakini ikawa na tofauti katika maandishi mfano morning na mourning.
Waiter kaa stendby!
View attachment 1238717
Cc Etwege Magonjwa Mtambuka
We ndo unatakiwa upigwe ban kwa kutoheshimu haki za binadamu...
We ungekuwa na uwezo ungeweza kumuua Raisi wetu...
You're the one who deserve to be banned from from JF even for life...
Jinga kabisa wewe.
Nini wewee Semenya jikite kwenye madaTulia wewe mporipori fanya kazi wacha porojo.