Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kapumzikaje sasa kawaida au kwa Amani?Kapumzika tu mheshimiwa...
Yupo wapi tuwekee picha tuone😀😀😀Idiot kabisa. Kwa taarifa yenu rais yupo mzima wa afya.
Ushauri huu ungetolewa kabla ya tar.07/09/2017 ingefaa sana,kwani Tundu asingesulubiwa Kama alivyosulubiwa,Ben saa nane angekuwa anakula mbuzi choma na wazazi wake anapowatembelea kijijini,Azory angekuwa anajiandaa kwenda ibadani na familia yake J.pili ya leo...Wamefanya kosa kubwa sana, wametake risk kubwa sana ambayo isipokuwa kama watakavyo itawagharimu sana
Hawajui lolote kuhusu siasa and yet wanataka kuongoza
Unathubutuje?? Kamari walio cheza sasa hiv ni kubwa kuliko kamali ya kumsimamisha Lowasa
Matokeo yakiwa ndivyo sivyo
1)watajulikana nia yao ovu
2)watapoteza credibility ya kuwa wanazushaga tu mambo
Matokeo yakiwa has kwa taifa
Watabeba lawama kuwa walihusika moja kwa moja, itakuwa ngumu kwa jamii kutoamini kuhusika kwao
Usioneshe chuki yako waziwazi ni kosa kubwa sana kisiasa
Saa nyingine nawaza hawa watu kama kweli zimo timamu, ni heri vyama vyote vya upinzani vifutwe na vianzishwe vipya na hawa waliopo wapigwe ban kuviongoza
Hongera sana kwa kuweza kujiramba hicho kiwiko. Yawezekana kwa kutumia hayo maarifa waweza kujiramba kisogo! 😅😅😅Kwa mara ya Kwanza nimefanikiwa kujilamba kiwiko, kwa mbali namuona nahodha mwanamama akijiandaa kuingia kwenye jahazi lake
Shukrani Mkuu, nipo njiani kwenda church leo nataka niwe front nishikane naye mkono...Idiot kabisa. Kwa taarifa yenu rais yupo mzima wa afya.
Katika mazingira kama haya acha watu waoneshe hisia zao.Ktk wanawake niliokuwa nawaheshim humu ni pamoja nawewe,ila ktk hili swala naona unajitoa akili sijui kwanini! Hivi unawezaje kufurahiya matatizo ya mtu mwengine? Tena yaugonjwa?
Wait whaaaaaat?? Hajafa tuu, yaaani nikikumbuka ya Lissu na Ben Saanane nasikitika SanaIdiot kabisa. Kwa taarifa yenu rais yupo mzima wa afya.
Unazuiaje thinking Na emotion ya MTU Mkuu...Pata context na sio two line word
Mkuu kumbe wewe unajua alipo...vipi yupo wapi mkuu??Idiot kabisa. Kwa taarifa yenu rais yupo mzima wa afya.
Acha uchuro we mganga.
Kwani nani hataugua maisha yale yote?
Kwani nani ataishi milele na hatakufa?
Lkn kuna uzi wako uliurusha hapa jan a na ukafutwa punde mmmmmm ulinitishaTatizo wanaficha
Nikienda Twitter nakutana na codes, nikirudi JF ni nyuzi za codes! Kuna muda nikaamua kulala nikaamka akili yangu bado haielewi kitu!
Nafikiri mnataka kunipotezea nisiwaze yale mahela yalolipwa juzi...
Mkuu vp wale waliosherekea ishu ya Tundu Lisu? Mimi naamini Mungu anaweza sikia kilio cha watzWamefanya kosa kubwa sana, wametake risk kubwa sana ambayo isipokuwa kama watakavyo itawagharimu sana
Hawajui lolote kuhusu siasa and yet wanataka kuongoza
Unathubutuje?? Kamari walio cheza sasa hiv ni kubwa kuliko kamali ya kumsimamisha Lowasa
Matokeo yakiwa ndivyo sivyo
1)watajulikana nia yao ovu
2)watapoteza credibility ya kuwa wanazushaga tu mambo
Matokeo yakiwa has kwa taifa
Watabeba lawama kuwa walihusika moja kwa moja, itakuwa ngumu kwa jamii kutoamini kuhusika kwao
Usioneshe chuki yako waziwazi ni kosa kubwa sana kisiasa
Saa nyingine nawaza hawa watu kama kweli zimo timamu, ni heri vyama vyote vya upinzani vifutwe na vianzishwe vipya na hawa waliopo wapigwe ban kuviongoza
Tafakuri kwnn ameandika vileKtk wanawake niliokuwa nawaheshim humu ni pamoja nawewe,ila ktk hili swala naona unajitoa akili sijui kwanini! Hivi unawezaje kufurahiya matatizo ya mtu mwengine? Tena yaugonjwa?
Eti baba. Ni baba gani asiyekuwa na utu?Heshima ni kitu muhimu sana kama imeshindikana kumheshimu kama Rais basi mheshimu kama baba au kaka yako. Lugha uliyotumia inadhihirisha kabisa hukupata malezi ya maadili.