Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Naweza nisikubaliane na mambo yanavyoenda lakini siwezi kuunga mkono uchuro Wa kuombeana maovu kwa binadamu mewenzangu. Na kwa maombi yauovu tujue Mungu hapangiwi. Mungu anaweza kuwageuzia kibao wanaoomba yeyote apate yaysiypstahii.
 
Wamefanya kosa kubwa sana, wametake risk kubwa sana ambayo isipokuwa kama watakavyo itawagharimu sana

Hawajui lolote kuhusu siasa and yet wanataka kuongoza

Unathubutuje?? Kamari walio cheza sasa hiv ni kubwa kuliko kamali ya kumsimamisha Lowasa

Matokeo yakiwa ndivyo sivyo

1)watajulikana nia yao ovu
2)watapoteza credibility ya kuwa wanazushaga tu mambo

Matokeo yakiwa has kwa taifa

Watabeba lawama kuwa walihusika moja kwa moja, itakuwa ngumu kwa jamii kutoamini kuhusika kwao

Usioneshe chuki yako waziwazi ni kosa kubwa sana kisiasa

Saa nyingine nawaza hawa watu kama kweli zimo timamu, ni heri vyama vyote vya upinzani vifutwe na vianzishwe vipya na hawa waliopo wapigwe ban kuviongoza
Ushauri huu ungetolewa kabla ya tar.07/09/2017 ingefaa sana,kwani Tundu asingesulubiwa Kama alivyosulubiwa,Ben saa nane angekuwa anakula mbuzi choma na wazazi wake anapowatembelea kijijini,Azory angekuwa anajiandaa kwenda ibadani na familia yake J.pili ya leo...

Lakini kubwa zaidi hata baada ya kushindwa jaribio la mauaji ya Lissu,basi kwa dhana ya "kutoonyesha chuki hadharani" angepatiwa matibabu na haki yake ya uwakilishi isingenyang'anywa,lakini kwa kuwa tuna chuki mbaya mioyoni tumefanya yooote hadharani kabisa,Tena kwa kiburi na jeuri ...

Mungu anatazama dhamira zetu,na kutuwezesha kuvuna tunavyopanda,pumzi haina mmiliki isipokuwa Mungu,ukilazimisha kumkatisha mwenzako kutumia pumzi aliyopewa na Mungu tambua pia kuwa wewe si yako,Mungu aweza kukunyang'anya pumzi hiyo hiyo wakati wowote...
 
Barua ya uteuzi pekee haitoshi kutuaminisha wananchi kuwa Mzee baba ni mzima waafya kabisa.

Wanaomzushia kuwa anaumwa wamekuja na hoja zifuatazo.
1: kusitisha ghafla ziara kanda ya kusini

2: Kubadilishwa wahusika kwenye matukio zaidi ya mawili ambayo ililipotiwa kuwa atakuwepo yeye mwenyewe.

3: Reaction yake baada ya wizi wa vipande vya komputa. Kwa ninavyomjua asingelifumbia macho.

4: Barua ya uteuzi imekuja ikiwa na makando kando mengi. Miongoni ni location ya mheshimiwa wakati wa uteuzi, tarehe ya kuanza uteuzi na tarehe ya kuapishwa katika maeneo yao, sahihi kupishana na za awali.

Vile vile barua hiyo imekuja sambamba na taarifa ya TAKUKURU ambayo inaonesha maagizo ni ya tar 15 Oct 19. Sasa huenda na hili la uteuzi lilifanyika kabla.

Tuombe wahusika watafute chakula cha kutushibisha hii barua ni Sawa na kuwapa chipsi wapasua mawe. Tunahitaji kushibishwa la sivyo tutaendelea kula matango pori kwa kukosa mlo husika.
 
Kwa mara ya Kwanza nimefanikiwa kujilamba kiwiko, kwa mbali namuona nahodha mwanamama akijiandaa kuingia kwenye jahazi lake
Hongera sana kwa kuweza kujiramba hicho kiwiko. Yawezekana kwa kutumia hayo maarifa waweza kujiramba kisogo! 😅😅😅
 
Ktk wanawake niliokuwa nawaheshim humu ni pamoja nawewe,ila ktk hili swala naona unajitoa akili sijui kwanini! Hivi unawezaje kufurahiya matatizo ya mtu mwengine? Tena yaugonjwa?
Katika mazingira kama haya acha watu waoneshe hisia zao.
tapatalk_1571539390947.jpeg
 
Njoo kwangu nikusimulie
Nikienda Twitter nakutana na codes, nikirudi JF ni nyuzi za codes! Kuna muda nikaamua kulala nikaamka akili yangu bado haielewi kitu!

Nafikiri mnataka kunipotezea nisiwaze yale mahela yalolipwa juzi...
 
Wamefanya kosa kubwa sana, wametake risk kubwa sana ambayo isipokuwa kama watakavyo itawagharimu sana

Hawajui lolote kuhusu siasa and yet wanataka kuongoza

Unathubutuje?? Kamari walio cheza sasa hiv ni kubwa kuliko kamali ya kumsimamisha Lowasa

Matokeo yakiwa ndivyo sivyo

1)watajulikana nia yao ovu
2)watapoteza credibility ya kuwa wanazushaga tu mambo

Matokeo yakiwa has kwa taifa

Watabeba lawama kuwa walihusika moja kwa moja, itakuwa ngumu kwa jamii kutoamini kuhusika kwao

Usioneshe chuki yako waziwazi ni kosa kubwa sana kisiasa

Saa nyingine nawaza hawa watu kama kweli zimo timamu, ni heri vyama vyote vya upinzani vifutwe na vianzishwe vipya na hawa waliopo wapigwe ban kuviongoza
Mkuu vp wale waliosherekea ishu ya Tundu Lisu? Mimi naamini Mungu anaweza sikia kilio cha watz
 
Kila dakika narefresh twitter kuona mapya nilivyoona watu wameteuliwa nikasema afadhali yupo baadae nikaona mwingine ameonyesha sahihi tofauti ya iliozoeleka nikaanza pata wasiwasi
 
Taratibu nyoka wanaanza kutoka pangoni, naimani joto linavyozidi kuongezeka na mijusi nayo itajitokeza,ni suala la muda tu
 
Heshima ni kitu muhimu sana kama imeshindikana kumheshimu kama Rais basi mheshimu kama baba au kaka yako. Lugha uliyotumia inadhihirisha kabisa hukupata malezi ya maadili.
Eti baba. Ni baba gani asiyekuwa na utu?
tapatalk_1571539390947.jpeg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom