Watanzania Tujitokeze Kulaani na Kukemea Vikali kauli Chafu za Mdude Nyagali kwa Rais Wetu

Lile limsukule lingine(Tlaatlaah ) nimeona lime like huu utumbo
umeumizwa sana na ukweli huo ee,
ambao waTanzani kwa mamilioni yao wamelaani sana kauli za huyo kijana japo ana tatizo la afya ya akili na hilo atasaidiwa kwasababu ni binadamu na Rais anahuruma hata na wanao mtukana kama huyu kijana asoe na adabu....

lakini waTanzania wengi zaidi wameshauri hatua kali dhidi yake zichukuliwe kwa pamoja na wanaomtuma kufanya uhalifu huo usio wa kiungwana na kimaadili kulingana na mila, desturi na utamaduni wa kitanzania
 
Basi mwache aongee anachokiona ni Sawa ni kama tunavyokuacha wewe ufanye unachokiona ni sawa
Hii ni nchi yenye kuongozwa kwa utaratibu , kanuni,sheria ,katiba na miongozo mbalimbali. ni lazima kila mmoja azingatie sheria .huwezi ukawa unajiropokea na kubwatuka kama Mdude Nyagali halafu uachwe tu kama kwamba watu wote ni wajinga
 
Kati ya wanaume wajinga wewe ni namba moja falah wewe
 
Lucas Mwashambwa majuzi tu sheikh aliwashauri kuwavumilia wote wanaowakosoa na kuwatukana!
Hatukatai ukosoaji wa kutumia lugha za heshima,staha,adabu na hoja. Mdude Nyagali anachofanya siyo ukosoaji bali ni matusi , udhalilishaji na kumshushia heshima Mheshimiwa Rais wetu.anachofanya ni kutumia lugha ambazo hazikubaliki na haziwezi kuvumilika mahali popote pale Duniani.angalia lugha na maneno aliyoandika hiyo jana? Ni nani anaweza kuvumilia na kukaa kimya kuona mtu akitumia maneno ya kumtishia RAIS? Au hujasoma alichoandika jana?
 
Rais aliyeingia madarakani kwa wizi wa kura hastahili heshima hata chembe
 
Mna jeshi la police na majeshi mengine,,,, watumeni wakamtundulissu,,,
Au wakamsativa 🫱🏼‍🫲🏾🫱🏼‍🫲🏾🫱🏼‍🫲🏾….
 
So bila shaka SSH amekutuma!
Kama ndivyo kamuue huyo Mdude ili umkomeshe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…