Watanzania tujiulize Maswali muhimu ya Kibiashara kuhusu bandari zetu kwa dunia ya leo

Watanzania tujiulize Maswali muhimu ya Kibiashara kuhusu bandari zetu kwa dunia ya leo

Kama unataka mjadara uwe mzuri na DPword tuione ya maana,

Utuambie share yetu kama nchi ni ngapi kwa mwezi ama kwa mwaka kwa mjibu wa mkataba?

Utuambie, ni lini mkataba utakoma?

Utuambie, kwa kuwa mkataba unamanufaa makubwa, kwa nini bandari za Zanzibar hazikuingizwa kwenye mkataba huu wenye mafaida kibao?

Utuambie, Ni kwa nini ziwe bandari zote za bara, nchi kavu na majini?

Kwa nini kwa nini kwa nini unashabikia mkataba unaowapa warabu milele yote?

Inasemekana kwamba, kwenye silabas zetu kumeingizwa lugha ya kiarabu, Hii ni kusema tayari tunaanza kuwa chini ya mwarabu au ni kujifunza lugha ambayo itaitawala Tz
Inasemekana kwenye silabasi zetu kumeingizwa kiarabu.

Tunaandaliwa!
 
Ok! Uhai wa huo mkataba Ni siku ngapi, wiki, miezi au miaka mingapi!
Mkataba wa IGA hauna uhai. Unakuuvunja kwa kusata taratuibu au kukiuka masharti ulambwe pesa. Hiyo ni kwa wote.

Uisikia Mkataba wa ndoa una muda? Hauna lakini unataratibu zake za kuuvunja.
 
Mkataba wa IGA hauna uhai. Unakuuvunja kwa kusata taratuibu au kukiuka masharti ulambwe pesa. Hiyo ni kwa wote.

Uisikia Mkataba wa ndoa una muda? Hauna lakini unataratibu zake za kuuvunja.
Mpaka Sasa Kilichopitishwa bungeni kina masharti gani. Na kina athari gani kuachana nacho.
 
Mpaka Sasa Kilichopitishwa bungeni kina masharti gani. Na kina athari gani kuachana nacho.
Hakina masharyti yoyote na hakina athari yoyote.

Ule ni mkataba wa wa ushirikiano wa nchi na nchi. Unalindwa Kimataifa. Hadhulumiwi mtu.
 
Back
Top Bottom