Watanzania tujiulize Maswali muhimu ya Kibiashara kuhusu bandari zetu kwa dunia ya leo

Leo tuwache jazba, kejeli, matusi na ujinga. Hii kwa pande zote mbili, zinzoona DP World haifai na zinazoona DP World inafaaa tujadiliane kiustaarabu tuone "options " zetu ni zipi, zile zenye faida tuishauri serikali izifate, zile zisizo na faida tuishauri serikali isizifate.
Tatizo la mada yako ni kwamba unaona kuna pande mbili, "zinazoona DP World haifai" vs "zinazoona DP World inafaa", lakini ukweli ni kwamba issue ya msingi siyo kufaa au kutofaa kwa DP World, issue ya msingi NI AINA YA MKABATA UNAOINGIWA.
Kwenye hii issue hawapingi uwekezaji au DP World, mkataba unaowaweka DP World kama wawekezaji ndiyo kitu watu wanapinga.
Watu mnasema kilichosainiwa ni MOU kati ya uongozi wa nchi mbili; kama ni makubaliano ya nchi mbili, hao DP World wameingiaje kwenye hayo makubaliano ya nchi na nchi? Wamezuka tu from no where?
Issue siyo DP World, issue siyo TICTS, wala mwekezaji mwingine yeyote; issue ni aina ya mkataba au makubaliano yaliyosainiwa. Hapo ndipo ugomvi wetu ulipo.
 
Sasa tukiongelea "mkataba unaoingiwa" ina maana umeshauona makataba. Umeuona huo mkataba, au tunapiga ramli tu?

Mimi siwezi kukipinga au kukikubali kitu nisichokijuwa.

Niliouona mimi ni IGA iliyopitishwa bungeni, ni Adreement au Kiswahili chake ni makubaliano. Sijaiona "Contract" au Kiswahili chake "mkataba".

1) Sasa hivi nielewavyo mimi DP World wala Dubai hawaendeshi bandari yetu yoyote, kweli siyo kweli?
 
Kwahiyo unatetea jambo usilojua asili yake.
Kufikia hapo nadhani siwezi kuendelea na mjadala kwasababu moja, hujui unatetea nini na kwa ground zipi

Proved umethibitisha nilichokueleza? Swali la msingi halina jibu, tunasababu za kuendelea kujadili kama kuna mkataba au bandari zinaendeshwaje!

I am out
Mimi nnatetea nnachokijuwa, nnatetea makubaliano yaliyopo, lakini sitete kisichokuwepo.

Wewe unatetea au unapinga nini? Nisome tenna:

1) Sasa hivi nielewavyo mimi DP World wala Dubai hawaendeshi bandari yetu yoyote, kweli siyo kweli?
 
Sasa tukiongelea "mkataba unaoingiwa" ina maana umeshauona makataba. Umeuona huo mkataba, au tunapiga ramli tu?

Mimi siwezi kukipinga au kukikubali kitu nisichokijuwa.

Niliouona mimi ni IGA iliyopitishwa bungeni, ni Adreement au Kiswahili chake ni makubaliano. Sijaiona "Contract" au Kiswahili chake "mkataba".

1) Sasa hivi nielewavyo mimi DP World wala Dubai hawaendeshi bandari yetu yoyote, kweli siyo kweli?
Hii Agreement ni Contract. Kama huamini, waambiwe wakubwa wajaribu kuivunja ndio utajua kuwa ni mkataba.

Amandla...
 
Search threads alizoanzisha JF, utapata jibu.

Jibu mbona lipo wazi kabisa, mimi nnawasubiri kwa hamu kubwa sana. Nna maslahi mengi sana tena sana kwa ujio wao.

Kwanza, nnakifahamu Kiarabu, Kingereza na Kiswahili vizuri. kwa hiyo hapo ni plus katika ku deal nao. Hivi nipo mbioni ku register kampuni ambayo nnaamini kabisa huduma zake watazihitaji. Kwa sababu nimewasiliana na Ubalozi wa UAE wamenipa miongozo na kampuni za kushirikiano nazo huko Dubai ambazo sitaweza kushirikiano nao kama sina kampuni iliyosajiliwa yenye shughuli namna hiyo hapa Tanzania.

Pili: Nnaamini kabisa uwepo wao Tanzania utafunguwa milango mingi sana ya fursa.

Tatu: Ingawa wapo wapo kiji team kidogo wana seti mambo yao sasa hivi, lakini nnaona wanachelewa sana kuanza "fully fledged"

1) Sasa hivi nielewavyo mimi DP World wala Dubai hawaendeshi bandari yetu yoyote, kweli siyo kweli?
 
Sijaona hilo kabisa, wala sijaona hata neno "Tanganyoka", sidhani hata kama kuna nchi inayoitwa "Tanganyika" leo hii.

Hata Kimataifa utaingia na nchi nyingine mkataba au makubaliano na nchi isiyokuwepo?

Nakupa darsa dogo tu:

Ukiona kuna mkataba wowote unaohusisha nchi mbili zilizo wanachama wa Umoja wa Mataifa, (integovernment au Bilateral agreements)elewa kuwa huo mkataba unalindwa na sheria na maazimio ya Umoja wa Mataiafa. Usiwe na shaka, hata uwe na upendeleo kwa mmoja au una mnyima haki mmoja basi haki yake utapatikana kwa nguvu za Umoja wa Mataifa.
Dubai ni nchi?
 
Dubai ni nchi?
Ndiyo Dubai ni nchi iliyopo kwenye Muungano wa nchi (falme) saba. Ndiyo maana kuna UAE. United Arab Emirates. Muungano wa Falme za Kiarabu.

Muungano wao nchi (falme) zote saba zina bendera zao na mfalame wao, hao wafalme ndiyo wamechaguwa kwa kigezo cha mali, yule Mwenye mali zaidi ndiyo awe Rais wao.

Wanakwenda ki mali mali tu huko, siyo ki maneno maneno. Huwezi kuwa Rais wa wenye mali kukuzidi wewe, ndiyo mpango wao.
 
Mimi naomba ni saidiwe kuelewa hapa.
Serikali iliyo weza kukopa trillioni na ushee kuboresha miundo mbinu ya bandari. Ikaongeza kina na kupanua lango la kuingilia meli kubwa za kizazi cha 4. Inapofika kuendesha bandari kwa ufanisi ina kwama wapi? Kwa nini isikwame kwenye kukopa na kuboresha bandari lakini ikwame kwenye kuiendesha mpaka ifikie mahali pa kumwita mwendeshaji ili wagawane mapato?

Kipi ambacho Dp World wanafanya ambacho serikali haiwezi kukifanya? Hiyo Dp world si kampuni ya serikali ya Dubai?! Nini ambacho serikali ya Dubai imeweza ambacho serikali ya Tanzania haiwezi kuiwezesha TPA? Kwa nini serikali isiajiri Wataalamu wa uendeshaji wa bandari kutoka nje katika maeneo ya bandari ambayo yame kuwa korofi na sugu kwa rushwa na ukiritimba ikawalipa mishahara hawa wataalamu na kuwasimamia ili kufuta hiki kizazi cha waswahili kilicho shindikana kwa kukubuhu kwa rushwa?
Mbona hata hao Dp world wameajiri wafanyakazi wao wa management ambao wengi ni raia wa nchi mbalimbali wala si waarabu tu wa Dubai. Hili serikali haiwezi mpaka ilete kampuni ya kugawana mapato kwa masharti ya kinyonyaji??!

Miaka yote ya kuikodisha TICTS hakuna ambacho tumejifunza kuhusu uendeshaji wa bandari? Ili kuanzia hapo tukajenga uzoefu wa kuiendesha bandari kwa ufanisi zaidi?

Kweli serikali ijenge miuondo msingi na miradi mingine mingi tu nchi nzima na kuiendesha. Iweze kuacha maofisi yaliyokuwa DSM ikaenda kudurufu mengine Dodoma lakini ishiendwe kuendesha mradi kama wa bandari ambao mapato yake yako nje nje tayari kwa kukusanywa, kweli ?!.

Yale yale ya dhahabu kuwa chini ya ardhi lakini hatuwezi kuichimba. Umpe muwekezaji ardhi yenye dhahabu, atumie ardhi hiyo kukopea mitambo aje aitumie kuchimba na kupata dhahabu aiuze apate faida kubwa na wewe akugawie mrabaha asilimia kadhaa tu hivi!!
 
Ndiyo Dubai ni nchi iliyopo kwenye Muungano wa nchi (falme) saba. Ndiyo maana kuna UAE. United Arab Emirates. Muungano wa Falme za Kiarabu.
Si kweli. Dubai haitambuliwi UN kama nchi. Nchi inayotambuliwa UN ni UAE. Acha uongo wewe Jihadist.
 
Mimi naomba ni saidiwe kuelewa hapa.
Serikali iliyo weza kukopa trillioni na ushee kuboresha miundo mbinu ya bandari. Ikaongeza kina na kupanua lango la kuingilia meli kubwa za kizazi cha 4. Inapofika kuendesha bandari kwa ufanisi ina kwama wapi? Kwa nini isikwame kwenye kukopa na kuboresha bandari lakini ikwame kwenye kuiendesha mpaka ifikie mahali pa kumwita mwendeshaji ili wagawane mapato?

Kipi ambacho Dp World wanafanya ambacho serikali haiwezi kukifanya? Hiyo Dp world si kampuni ya serikali ya Dubai?! Nini ambacho serikali ya Dubai imeweza ambacho serikali ya Tanzania haiwezi kuiwezesha TPA? Kwa nini serikali isiajiri Wataalamu wa uendeshaji wa bandari kutoka nje katika maeneo ya bandari ambayo yame kuwa korofi na sugu kwa rushwa na ukiritimba ikawalipa mishahara hawa wataalamu na kuwasimamia ili kufuta hiki kizazi cha waswahili kilicho shindikana kwa kukubuhu kwa rushwa?
Mbona hata hao Dp world wameajiri wafanyakazi wao wa manahmgement ambao wengi ni raia wa nchi mbalimbali wala si waarabu tu wa Dubai. Hili serikali haiwezi mpaka ilete kampuni ya kugawana mapato kwa masharti ya kinyonyaji??!

Miaka yote ya kuikodisha TICTS hakuna ambacho tumejifunza kuhusu uendeshaji wa bandari? Ili kuanzia hapo tukajenga uzoefu wa kuiendesha kwa bandari kwa ufanisi zaidi?

Kweli serikali ijenge miuondo msingi na miradi mingine mingi tu nchi nzima na kuiendesha. Iweze kuacha maaofisi yaliyokuwa DSM ikaenda kudurufu mengine Dodoma lakini ishiendwe kuendesha mradi kama wa bandari ambao mapato yake yako nje nje tayari kwa kukusanywa, kweli ?!.

Yale yale ya dhahabu kuwa chini ya ardhi lakini hatuwezi kuichimba. Umpe muwekezaji ardhi yenye dhahabu, atumie ardhi hiyo kukopea mitambo aje aitumie kuchimba na kupata dhahabu aiuze apate faida kubwa na wewe akugawie mrabaha asilimia kadhaa tu hivi!!
Maswali mazuri sana hayo.

Kwa ufupi, mwenye kisu kikali ndiye mla nyama.

Uendeshaji wa bahari una mabo mengi sana. Uwekezaji wetu wa kuzidisha kina na kuongeza gati (brth) Bado haujatosha. Kwa sababu mizigo inzazidi na gaharama kwa wenye meli na mzigo zinazidi, pia tunawatia hasara wenye meli kwa kungoja nangani. Ukiwa Dar pale Ocean Road ukitazama bahari kuu, utaona meli nyingi zimesimama kule, zote zile zinangoja zamu ya kuja kushusha na kupaia mzigo.

Vifaa vyetu vya kushusha na kupakia kontena ni vya kizamani na havikidhi mahitaji ya sasa. Vile vile sehemu yanakopangwa makontena yakishushwa au yakiletwa kungoja kusafirishwa hapana miundo yoyote ya kissa. Na kiunda ni gharama kubwa sana.

kama hayo hayatoshi, sikuhizi ushindani unavyoongezekawatoa huduma wameanz akutoa huduma zinazowavutia wateja kwa kuwapunguza gharama. Mfano, DP World wanaweza kuchukuwa mizigigo ya wati kidogokidogo na kuipakia kwwenye kontena zao wenyewe, kitu ambacho soso hatuna inabidi tukodishe kontena kamili.

Hayo ni machache tu ni mlolongo kamili wa "loigistics" amabao wao walipata uzoefu miaka mingi kwanza kwa bandari zao za Dubai, halafu walipamua kujenga bandari kubwa zaidi ya Jabel Ali ndiyo ikawafungulia milango ya kibiashara kiajabu san. Hapo wakapata uzoefu. Kwa uzoefu wao wakawa wanaoanuka kidogo kidogo kuanza kutowa huduma na nchi zingine, sasa wamefikia mpaka wanatia huduma zao tofauti touti kwa nchi za9d9 ya 60 Duniani.

Bandari yetu wala hatuongelei kuwapa yote kwa sasa, tunaongelea kuwa gati za makontena tu.

Mimi nakushaauri pitia website yai ujionee shughuli zao na namna wanvyozifanya, ulinganishe na TPA yetu wanavtofanya shughuli zao, ni kama kulinganisha maji ya kwenye kisoda na bahari.

Kwa ufupi, wao hatuwapi banadari, sisi tunawapa kutowa huduma ambazo tutakubaliana nao. Katika kutowa hizo huduma zao na kwa uzowefu wao ndiyo tumekubalaina nao ikiwa kuna sehemu ya kuboreshwa katika bandari zetu basi tushhirikiane nao. Ndiyo makubaliano yalivyo Lakini bado hatuna mkataba nao wa kunedesha bandari.
 
Hatuna mkataba na DP World kwa hiyo swali lako halina maana.

Nijuavyo kuna makubaliano ya nchi nchina nijuavyo nchi na nchi hazina sababu ya kutangaziana kuwa tunataka ushirikiano wa kimaendeleo.

Mfano sisi tuna maonesho ya sabasaba, akija mgeni wa nchi akakuta mambo fullani mazuri anaweza kusema hili la Tanzania litatufaa Zambia ngoja tuingie nao makubaliano, nao, simple..

Na ndicho kilichotikea 2020, kulikuwa na maoimesho ya kibiashara Dubai, Tanzania ikashiriki, mama akahudhuria akayakuta haya ya bandari yakamvutia. Simpo.
Swali langu lina maana kubwa mkuu.

Hapa unasema hatuna mkataba na DPW sasa kwa nini tunajadili mkataba wa bandari?

Wewe katika posts zako za awali umetoa fafanuzi za ubora wa DPW lakini hapa unakana hatuna mkataba nao. Yes hatuna mkataba nao, je tunachojadili ni nini haswa?

Haya umenijibu hapa kuwa kupitia maonesho ya biashara ndo yametumika kama kigezo chq manunuzi, ina maana tulipeleka nchi yetu na vivutio vyake pale Dubai expo kama bidhaa tena kwa mafungu? Kuna tofauti gani baina ya kampuni binafsi kunadi bidhaa zake kwenye trade fairs na serikali ilichofanya? Who owns this country kama kampuni yake binafsi?

Kwa urahisi wa mama kuingia mkataba wa Bandari hata kabla Bunge halijaridhia yaani mwaka 2021 rais anasaini IGA kisha mwaka unaofuata ndo unapelekwa Bungeni kujadiliwa hapo ndo unaita simpo?

Ndugu, mnayemtetea mnambomoa kwa kauli zenu simpo simpo. Hii nchi si ya Rais na haruhusiwi kufanya atakavyo bali kila kitu kiwe kwa mujibu wa Katiba, Sheria na Kanuni
 
Maswali mazuri sana hayo.

Kwa ufupi, mwenye kisu kikali ndiye mla nyama.

Uendeshaji wa bahari una mabo mengi sana. Uwekezaji wetu wa kuzidisha kina na kuongeza gati (brth) Bado haujatosha. Kwa sababu mizigo inzazidi na gaharama kwa wenye meli na mzigo zinazidi, pia tunawatia hasara wenye meli kwa kungoja nangani. Ukiwa Dar pale Ocean Road ukitazama bahari kuu, utaona meli nyingi zimesimama kule, zote zile zinangoja zamu ya kuja kushusha na kupaia mzigo.

Vifaa vyetu vya kushusha na kupakia kontena ni vya kizamani na havikidhi mahitaji ya sasa. Vile vile sehemu yanakopangwa makontena yakishushwa au yakiletwa kungoja kusafirishwa hapana miundo yoyote ya kissa. Na kiunda ni gharama kubwa sana.

kama hayo hayatoshi, sikuhizi ushindani unavyoongezekawatoa huduma wameanz akutoa huduma zinazowavutia wateja kwa kuwapunguza gharama. Mfano, DP World wanaweza kuchukuwa mizigigo ya wati kidogokidogo na kuipakia kwwenye kontena zao wenyewe, kitu ambacho soso hatuna inabidi tukodishe kontena kamili.

Hayo ni machache tu ni mlolongo kamili wa "loigistics" amabao wao walipata uzoefu miaka mingi kwanza kwa bandari zao za Dubai, halafu walipamua kujenga bandari kubwa zaidi ya Jabel Ali ndiyo ikawafungulia milango ya kibiashara kiajabu san. Hapo wakapata uzoefu. Kwa uzoefu wao wakawa wanaoanuka kidogo kidogo kuanza kutowa huduma na nchi zingine, sasa wamefikia mpaka wanatia huduma zao tofauti touti kwa nchi za9d9 ya 60 Duniani.

Bandari yetu wala hatuongelei kuwapa yote kwa sasa, tunaongelea kuwa gati za makontena tu.

Mimi nakushaauri pitia website yai ujionee shughuli zao na namna wanvyozifanya, ulinganishe na TPA yetu wanavtofanya shughuli zao, ni kama kulinganisha maji ya kwenye kisoda na bahari.

Kwa ufupi, wao hatuwapi banadari, sisi tunawapa kutowa huduma ambazo tutakubaliana nao. Katika kutowa hizo huduma zao na kwa uzowefu wao ndiyo tumekubalaina nao ikiwa kuna sehemu ya kuboreshwa katika bandari zetu basi tushhirikiane nao. Ndiyo makubaliano yalivyo Lakini bado hatuna mkataba nao wa kunedesha bandari.
Kuna konakona nyingi hapa.
 
Hii Agreement ni Contract. Kama huamini, waambiwe wakubwa wajaribu kuivunja ndio utajua kuwa ni mkataba.

Amandla...
Mkuu ndio maana nilimuuliza kama 'agreement' inaridhiwa na Bunge. Alikimbia na mwisho akasema hajui.
Ukweli ni kwamba katiba ya JMT (1977) Sura ya Tatu sehemu ya kwanza Bunge (63)-1(e) inasema bila utata '' Kujadili na kuridhia mikataba yoteinayohusu Jamhuri ya Muungano na ambayo kwa masharti yake inahitaji kuridhiwa''

Kwa mantiki hiyo kilichoridhiwa Bungeni ni Mkataba ingawa Spika ambaye ni Mwanasheria na Prof wa chuo kikuu anakwepa ukweli huu bila kuonyesha maridhiano yameanishwa wapi. At least FaizaFoxy amekwepa kujibu.

Hii ina maana nyingine, kwamba, Jamhuri ya muungano ni pamoja na Zanzibar. Sasa kuna sheria gani nyingine ambayo ipo juu ya katiba ya JMT? Hapa ndipo wanaosema kuna hoja za Uzanzibar wanapata nguvu sana.
Kwamba Wabunge wa Zanzibar ndani ya Bunge la JMT walikwenda Dubai kwa gharama za Tanganyika kama Watalii kwasababu hili jambo haliwahusu. Lakini je, haliwahusu? Katiba inatamka ni la muungano.

Ikiwa si jambo la muungano vipi waziri na mwenzake ambao ni Wazanzibar wasimamie jambo lisilo wahusu wakimshauri Rais Mzanzibar kwa masilahi ya Tanganyika ambayo wao kama Wazanzibar wameyakwepa ?
Wenye hoja ya Uzanzibar wana neno!

Ni kwa mantiki hiyo Zanzibar imepewa nguvu sana hata kusigina katiba. Hii si mara ya kwanza, tunakumbuka katiba ya Zbar 1984 toleo la 2010 imekiuka ile ya JMT, hakuna anayehoji kwasababu wanaofanya hivyo ni Wazanzibar.

Mbowe alipotoa tahadhari kama kiongozi mwenye wafuasi hilo likawa balaa. Kwamba Mtanganyika hawezi kusimamia masilahi ya nchi yake kwasababu haki hiyo kapewa mzanzibar peke yake.

Kwa tukio la Bandari kuna kufungua ''pandora box' au can of worms. Ni jambo baya lakini pia ni zuri kwasababu limeonyesha matundu yaliyopo na limesaidia sana kuwaamsha waliobeba Muungano kutaka haki ya kuwa na maamuzi ya nchi yao. Hoja ya Tanganyika haitaondoka na katiba mpya haikwepeki.

Mwisho, ikiwa tunakubaliana Bunge liliridhia Mkataba, mkataba ni jambo binding, kwasasa hatuwezi kuchomoa hata kwa bahati mbaya. Hapa ndipo tunajibu swali la Faiza kwamba, DP Haiendeshi bandari yoyote lakini tayari sisi umefanya commitment. Tukiondoka tu lazima kuna kitu watalamba.
 
Post yake ya kwanza kaomba ustaarabu kwenye hoja lakini msome huko mbeleni anavyopuyanga na majibu ya hovyo hovyo.

Kiufupi dada yetu FaizaFoxy ni tabularasa kwenye issues za mikataba lakini ninampa alama A kwenye uholela wa kuzungumza lolote
 
Hii Agreement ni Contract. Kama huamini, waambiwe wakubwa wajaribu kuivunja ndio utajua kuwa ni mkataba.

Amandla...
Hakuna cha kuvunjwa, kwanini wavunje makubaliano kwa matakwa yako?

Sasa rudi kwenye swali langu:

1) Sasa hivi nielewavyo mimi DP World wala Dubai hawaendeshi bandari yetu yoyote, kweli siyo kweli?
 
Post yake ya kwanza kaomba ustaarabu kwenye hoja lakini msome huko mbeleni anavyopuyanga na majibu ya hovyo hovyo.

Kiufupi dada yetu FaizaFoxy ni tabularasa kwenye issues za mikataba lakini ninampa alama A kwenye uholela wa kuzungumza lolote
Weka nukuu yangu iliyokwenda kinyume na post ya kwanza.

Sasa rudi ena kwenye post ya kwanza ujibu hili:

1) Sasa hivi nielewavyo mimi DP World wala Dubai hawaendeshi bandari yetu yoyote, kweli siyo kweli?
 
Niliouona mimi ni IGA iliyopitishwa bungeni, ni Adreement au Kiswahili chake ni makubaliano. Sijaiona "Contract" au Kiswahili chake "mkataba".
Kama ni IGA, hiyo DP World inatokea wapi? Makubaliano ya nchi na nchi yanawezaje ku-single out kampuni moja kiuwekezaji?
IGA ni makubaliano ya nchi na nchi yakiainisha maeneo yenye mutual interest za kushirikiana. Dp World wanafanya nini kwenye makubaliano ya nchi na nchi? Kwani dp World ni nchi?
Wewe ni mtu mwelewa, lakini kwenye hili umepiga chini kwa kujifanya kutoelewa ndiyo maana unatumia nguvu nyingi sana kukwepa mjadala halisi ili kutimiza interests zako.
 
Back
Top Bottom