Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo Bunge liliridhia makubaliano?Unajuwa wote manongelea mkataba kwa sabau lugha ya Kiswahili bado ipo finyu.
Kuna makubaliano = Agreement.
Kuna mkataba = Contract.
Tusiyachanye hayo mawili. Niayaonayo mimi mpaka sasa ni makubaliano, bado sijaona mkataba. Ndiyo nikasema:
1) Sasa hivi nielewavyo mimi DP World wala Dubai hawaendeshi bandari yetu yoyote, kweli siyo kweli?
Kweli kabisa. Hakuna biashara isiyo na ukomo. Mpaka sasa hatuna mkataba wa kibiashara, au wewe unaufahamu tunao?Biashara isiyo na ukomo kuwaachia waarabu ni utumwa wa kijinga.
Bunge liliridhia tena siku hizi majadiliano ya Bunge ni mubashara "live" Nisome tena kisha ujibu:Kwahiyo Bunge liliridhia makubaliano?
Katiba ya nchi inaruhusu Bunge kuridhia makubaliano? AgreementBunge liliridhia tena siku hizi majadiliano ya Bunge ni mubashara "live" Nisome tena kisha ujibu:
1) Sasa hivi nielewavyo mimi DP World wala Dubai hawaendeshi bandari yetu yoyote, kweli siyo kweli?
Nimejiuliza kuhusu DP World kama taratibu za kumpata ilitangazwa tenda kama taratibu zetu zinavyotaka au utaratibu gani ulitumika?Nimekuelewa.
1) Sasa hivi nielewavyo mimi DP World wala Dubai hawaendeshi bandari yetu yoyote, kweli siyo kweli?
Makubaliano yamesema ukomo ujadiliwe na uainishwe kwenye mikataba ya kazi.Jambo ni jepesi sema upande mmoja umezidiwa na sababu ni ile ile toka enzi za bwana(Transparency).
Hakuna anayepinga uwezekaji ata waje waarabu wainvest kila kona ya nchi hii hakuna anayepinga ila maswali ni haya: Je,mkataba au makubaliano kama wasemavyo ukomo wake lini?Je,kuna maelezo yoyote ya namna watanzania watapata kitu cha ziada tofauti na ilivyokuwa mwanzo kabla ya ujio wa hawa wazee mashariki ya kati
Hata mtu ukitaka kucheka, inakuwa ngumu sana kucheka huku moyoni unasikia maumivu.Miparaganyiko kama hiyo ndiyo huondolewa na haya makubaliani ya awali,
Tender ya kuwapata DP world ilitangazwa lini? Na ilikuwaje hadi wakapatikana wao? Makampuni mengine kwenye hiyo tender walikuwa akina nani?Lione swali lililoulizwa, unalo jibu au una swali lako tulijadili? Au mawazo yako tuyajadili. Hao wanaoona "haya" achana nao.
Wewe achana na kujadili mtu au watu, wewe jadili mada:Sasa mtu kama huyu ambae anaonyesha wazi kabisa chuki yake dhidi ya race nyingine utamfahamishaje au utajadili nae nini?
Unapotanguliza "mooring" ya jahazi lako kwa kuandika wale wa JAMBO watoe mawazo na "wapya" wa JF watulize mizuka,una maanisha hao watu wa pande mbili wana akili tofauti na Uraia tofauti?Nimeanza kuamini "uzee ku..anin."!
1) Hilo limekubalika na PM kishalisema jana, kuwa lease itakuwa fupi. Ukumbuke lease za bandari zina vigeZo vya ROI. huwekwa ukomo wa lease kulinga na volume na marejesho ya uwekezaji. Volume ikiwa kubwa na uwekezaji mdogo basi inakuwa lease ya muda mfupi zaidi, ikiwa uwekezaji mkubwa na volume ya kurudisha mtahi na faida ni kubwa, lease itachukuwa muda mrefu. Huwa average ya 25 Years.
- Only give out Short leases
- Hakuna kumpa mtu exclusivity watu tofauti wanaomba tender za muda mfupi mfupi
- Transparency kila kitu kiwe wazi
- Percent yoyote atakayopewa mdau yoyote isizidi 49 percent (state bado iwe na say na sio vinginevyo)
- Hii ni short-time tujifunze sio lazima tubinafsishe mambo yote tunaweza ku-outsource baadhi ya kazi ambazo ni ngumu na tu-concentrate kwenye rahisi sio kuwaachia the kitchen sink
- Tuache tabia ya kusema fulani kafanya na sisi tufanye ifike wakati na sisi tuwe mfano waseme fanyeni kama watanzania
- Tujiulize kwanini hatuwezi ili tutibu huo ugonjwa ili kesho tuweze
- Tu-plan na sisi sio kufanya ndani tu (tuna bandali nyingi sana) maybe ifike wakati sababu tuna mashamba darasa tuwe wabobezi ili na sisi tuitwe kwenye kuwafanyia wengine (sababu tatizo letu kubwa ni ku-settle for mediocrity)
2. Hakuna kumpa mtu exclusivity watu tofauti wanaomba tender za muda mfupi mfupi
inawezekana hajaona haya uliyoandika hapa, au inawezekana kasoma na huenda hakuelewa; kwa sababu nami ningependa kusoma jibu lake kuhusu hili swali ulilouliza.Nawe kujibu hivyo hutofautiana huyo uliyemjibu.
Mada yako kuu, kama walivyoichangia baadhi ya WanaJF, ni marudio ya utetezi wa uwekezaji wa DPW kwenye bandari za Tanzania bara kuwa una faida, ili kuwaondoa kwenye reli wanaopinga IGA kuwa na vifungu batili (naamini hutorudia swali lako ulilozoea "vifungu vipi?" au "umeusoma?").
3. Transparency kila kitu kiwe wazi
Na hii ndiyo sababu kuu ya hiyo IGA iwe inayokubalika.Hakuna mkataba wa kibiashara wa Kimtaifa (hata wa kitaifa) unaokuwa "fully transparent".
4. Percent yoyote atakayopewa mdau yoyote isizidi 49 percent (state bado iwe na say na sio vinginevyo