Watanzania tumekosea wapi? Nilidhani masihara kuwa gharama za vifurushi zimeendelea kupanda

Vpn bila bando? Si kila mtu angekua na vpn
Bila bando sio masihara ni uhakika mkuu ,kuna moja jina nimeisahau iliipigwa baada ya kusambaa kwa haraka ilikuwa mtu unapewa Mb inachohitajika mtu siku ya kwanza uwe na bando unawatch matangazo na adds na umtumia Mtu link unapata Gb1 kuna watu walifikisha mpaka Gb35 halafu spidi haikwami muda wote sasa niambie huyo mtu anunue bando kwa hali hii la kazi gani ?
 
1000tzs 1GB 7 days ni zilipendwa
Ilikuwa na dakika juu ,enzi zile zitakumbukwa daima mtu alikuwa haoni hasara kuchukua buku lake kuweka vocho coz linaenda kihalali sasa hivi lazima ajifikirie ukizingatia vilevile bidhaa nyingine hazishikiki.
 
Mimi nikinunua bando voda unajiamini kabisa najua linaenda kihalali wengine haswa Airtel na Halotel siwaamini kabisa kitu kinaisha chap .

Halotel kuna siku bando liliisha katika mazingira tata Ikanibidi niende kwenye data usage nikacheki statistics nimetumia kiasi gani nikagundua kwenye GB 2 niameacha kama 180Mb wakati huo nimeshaletewa sms kuwa nimemaliza bando langu na huduma wameshakata.
 
Dah! Mb 750 nimejiunga jana usiku sija download zaidi ya kuchungulia instar dk 5 tu tena kwa tahadhari zote ila asubuhi naambiwa nimetumia 75% ya kifurushi changu.
 
Dah! Mb 750 nimejiunga jana usiku sija download zaidi ya kuchungulia instar dk 5 tu tena kwa tahadhari zote ila asubuhi naambiwa nimetumia 75% ya kifurushi changu.
Inasikitisha sana mtandao gani unatumia ?mimi insta na YouTube nitaingia tu nitakapo pata connection ya VPN bando langu la wiki Mb800 naperuzi Jf ,gugo kusearch makala na tovuti za habari kama WION na Aljazeera hata vitabu nimestop kudownload kwa muda .
 
Natumia halotel, nimepunguza sana matumizi siku hizi ili kuendana na hali halisi ila kilichotokea sikuamini kabisa.
 
Yani nimetoka kujiunga halotel MB 750 kwa 1500, mwanzo ilikuwa 1GB wakapunguza ikawa
MB 900 na leo nakuta 750.
Me natumiaga kile cha 2000 nikiunga leo kesho siungi kesho kutwa naunga ni sawa na kutumia 30k kwa siku 30 ...jana nashangaa wamepunguza dk zile 80 kuwa 30 sijui ..na dk ndo huwa situmii sana nimejiunga mfululizo hadi sasa nina dk 1600 mitandao yote
 
Me natumiaga kile cha 2000 nikiunga leo kesho siungi kesho kutwa naunga ni sawa na kutumia 30k kwa siku 30 ...jana nashangaa wamepunguza dk zile 80 kuwa 30 sijui ..na dk ndo huwa situmii sana nimejiunga mfululizo hadi sasa nina dk 1600 mitandao yote
Halotel jau sana Gb 2 zao sawa na 1.5 Gb ya Voda na 1.8Gb ya tigo
 
Mkuu nipe maujanja unafanyaje, na mimi natumia halotel kwenye mambo ya data.
 
Yani wamekata dk 50 nzima halafu kimya kimya, na bado hiyo 1Gb kuanza kuipunguza.
 
wa tz hatuna wakukutetea watu wanapunguza vifurushi mda wa naotaka na hakuna anae wauliza tunaishi kulalamika mwisho tunazoea, sijui kuonewa huku mpaka lini
 

1) hakuna vpn inaotoa free internet
2) Japokua vifurushi vimepanda ndio ila ukilinganisha na nchi zingine bado ni miongoni kwa nchi ambazo vifurushi vyake viko chini sana ukilinganisha na nchi zingine

3) Sijui kama ulikua unategemea vifurushi bei ziwe zile zile miaka yote ama ulikua unategemea ziendelee kupungua?
hali ya maisha imebadilika na pia ulitakiwa uwe unajua kwamba vitu sku zote vinapanda bei havipungui bei, as long ni biashara tunabadilisha pesa na huduma kwahio na wao wanaangalia upande wao,

4) Siasa za ujamaa zishapitwa miaka mingi, we are in capitalism (SURVIVAL FOR THE FITTEST). endapo utaona vitu vinapanda bei ujue tu ndo maaana halisi ya capitalism

5) Ya mwisho na ya muhimu sana, huduma ya internet ni biashara, elimu, burudani na mambo mengine mengi, huduma hii inaweza kukupunguzia makali ya maisha kama utaamua kuitumia vizuri! na pia gone are the days za kutumbishwa na uchumi wa nchi moja, hakikisha unafanya investment sehem nyingi duniani mfano masoko ya mitaji (STOCK MARKET) hata apa tanzania kuna DAR ES SALAAM stock exchange, my point ni kwamba endapo uchumi wa tanzania uko vibaya basi inakua haina makali sna kwako
 
1.Vpn zipo watu wametumia sana tena humu Jf kulikuwa na jukwaa wajuba walijichimbia kupeana dili hizo mpaka watu wakawa wanatoa sadaka kwa wanajitolea kutoa madini cheki ushahidi hapo chini

Cheki wajuba walivyokuwa wanaserereka kama wametia bando la mwezi halafu unajiamini kusema hamna Vpn unawajua MaPirate wewe ?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…