Watanzania tusijiaibishe. Tunamtetea anayejichukulia sheria mkononi kuua polisi?

Hamza haha hatakagi ujinga
 
ila na mm ili hapa wale wanaspace wa twitter wamenipa mashaka ..kwamba alichofanya ni sahihi au ?
 
Kwanini chama tawala kilikaa na muuaji miaka yote tena na pistol mkamiikisha hauoni nyie mtakua ni sehemu ya lawamaizi na mpaka Leo hamjatoa tamko la kulaani! au mmeridhika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…