Watanzania tusijiaibishe. Tunamtetea anayejichukulia sheria mkononi kuua polisi?

Inabidi polisi waache pia kuwadhulumu raia na kuwaonea badala yake wafanye kazi kwa kuzingatia maadili na kufuata sheria
 
Wao wanyanyasa raia kubambika kesi rushwa n.k huwa wanachukua sheria miguuni au?mbona hajafata raia?
 
Yaan ,huyu jamaa angeua askari 500 na ndugu zao ,kaka,Dada ,shangazi ambao pia ni askari.Nafikiri hawa jamaa wanaomshangilia wakiwa kwenye keyboards, wangeenda misibani kwa hao polisi ,ambao ni ndugu zao wakiwa wanamshangilia pia Hamza.
 
Umeongea utoko kabisa
 
U

Ungekuwa matured usingekosa akili ndogo kama hi au labda haujawahi kutana na madhila ya polisi.

Sitoshanga kusikia unatanuliwa rinda.


Hamna lolote zaidi ya chuki na udini!

Wewe unajua walokuwa wanakaa nae maelezo ya awali walotoa?!

Kila mwenye ku-support na kufurahia uovu naye ni muovu vilevile!

Eti kuua makafiri hao makafiri wameumbwa na nani?

Makafiri wamejileta wenyewe Duniani?!

Kama wameumbwa na kuletwa na Mungu Kwanini msimuheshimu huyo Mungu alowaumba hata kama hamtaki kumwamini ?!

Acheni chuki na mafundisho yenu ya visasi !

Eti mtu anasoma dini halafu anakuwa Muovu na mharibifu wa maisha ya watu kwa kuua watu si bora ya pagani tu ambaye yeye hana madhara yoyote ya kuua na kuangamiza?!
 
Unajua thamani ya kilo Tano za dhahabu wewe Zwazwa...ningekuwa Mimi ningeenda kituoni niwashone Kama kuku..nyambafu
 
Mmoja nipo hapa, bado hao 99 wajitokeze.
 
yan nlishasema siji kuwa rafik wa police...ni masnitch wa viwango vya hatari sana...
Ila wapo wenye moyo, mie kuna kaka yangu walitaka kumuweka ndani kisa gari yake imegonga. Yule askari alieamrishwa na mkubwa wake amuweke ndani kaka yangu, aligoma kupokea maagizo ya mkubwa wake na akasema ni bora aache kazi lakini hawezi kumuweka ndani maana haoni makosa yake.
 
Hamza siyo shujaa alikuruupuka naomba. Kuwasilisha ushujaa hautafutwi kwa kuua watu wasio na hatia au kwa kumwaga dam ushujaa unatakiwa ulete mabadiliko tunayoyataka siyo kupunguza raia
Umejuaje hawana hatia? Unadhani hakuona polisi wengine on the way mpaka akawafuata hao kwenye kituo chao cha kazi?
Hamza angenifurahisha zaidi kama hao wengine aliopishana nao angewatengua viuno kabla hajafika kwa wabaya wake kuwawahisha kwa ziraili
 
Unajua thamani ya kilo Tano za dhahabu wewe Zwazwa...ningekuwa Mimi ningeenda kituoni niwashone Kama kuku..nyambafu


Bado huwezi linganisha na thamani ya uhai wa mwanadamu.

Dhahabu zinauzwa madukani , Je uhai wa binadamu ukishapotezwa utapatikana wapi?

Thamani ya uhai wa binadamu unauzwa duka gani?

Sasa kwa kuua watu amepata nini?

Ona sasa na yeye mwenyewe ameangamia faida alopata ni ipi?

Akili ni bora kuliko mali!
 
Amewafundisha polisi kuwa dhuluma ni mbaya. Kilangila.
 
Kipenzi umelewa? Hebu nitafsirie hiki kijaluo basi
[emoji23][emoji23][emoji23]bora hata kulewa mwenyewe sijaelewa nilichoandika nasoma sasa hivi nimecheka kweli kweli sijui nikiandika utopolo gani
 
Hizi akili hizi,ni Sawa na kuwalaumu waafrika wa south afrika waliokuwa wanagandamizwa na mfumo wa kibaguzi kwa kuwashambulia wazungu,au kuwalaumu wapelestina kwa kuwashambulia waislael,
Kwa akili kama hizi hata Mandela aliitwa Gaidi.
Swala kubwa ni polisi na ujambazi wanaofsnya dhidi ya raia.
Na kwa sasa kwa vile wanasiasa wamegeuka kuwa majizi,polisi wanaamlishwa waangalie pembeni,na wao wakiwa na njaa,wakabe raia,Ili mradi kelele zisiwe nyingi wwnanchi wakalianzisha.
 
Una msongo wa mawazo.
 
Yani uibiwe na polisi alafu ukashitaki polisi?
 
Hamza ni shujaa!!wazazi wake wapewe zawadi ya kumzaa shujaa!katuonyesha njia watz tuifuate!ili haki itamalaki na sio dhulma za ma polisi!!!
 
Una msongo wa mawazo.


Wenye hali hiyo ni wale wanapendezwa na uovu!

Sisi tunafundishwa kumtwika Yesu fadhaa zetu zote hivyo tunapata wepesi wa moyo na kulipiza visasi kwetu ni mwiko!

Chuki kwetu hakuna sababu hata adui tunaagizwa kupenda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…