Pro mwendazake mna tabu sana. Katiba ni lazima. Hata huyo unayemwambia atwange wenzake ni katiba ndio imemfikisha hapo. Jibuni hoja kwa hoja sio hoja inajibiwa na rungu. Mmekua wadhaifu kiasi kwamba hata hoja ndogo mnataka kutumia bunduki. Shame on you
 
Mi panya Road km hao ni kuwatwanga tu!
 
hahahaha imenibidi nicheke nikikumbuka ile interview ya Kikeke wa BBC na Mama Samia juu ya katiba mpya.
Mama akamchenjia Kikeke, watz wamekutuma?
 
Unakubali kwamba kuna matatizo lakini hauko tayari kwa reform?
 
🤣🤣🤣
Hao ni vijana wenzetu waliokulia katika maisha bora viunga vya Ursino ,Ada Estate ,Regency...wazazi wao wakawapeleka US....wengine ni wabwia unga tu......
Hehehe leo mnaongelea kwa mbali tu hamuwawezi sijui mngewafanyaje wengekutania hapa Tz🤣🤣
 
Nakushauri tu unapo comment hapa uwe makini na Lugha unazotumia.

Hili ni jukwaa public linasomwa na watu wengi.

Unaweza kufikiri umetoa ushauri mzuri na kudhani kuwa utaungwa mkono.

Punguza munkali wa maneno.

Comment hizi huko mbeleni zinaweza kukuletea matatizo.
 
Sasa hawa jamaa wanadhani marekani itawasaidia nini?
This is a cool way of time wastage.
 
Sanaa. Dunia yote ijue kuwa watanzania wanahitaji constitutional Reform.

Hongera sana kwa Diaapora US
Hata galaxy nzima ikijua still no one cares!
Na hao watoto wa kishua 20 sijui walioandamana hawatoshi kwa hata foot 40 za kijiji kujua uwepo wao sembuse dunia nzima yenye mambo mengi ya msingi kama uchumi kuyumba sababu ya vita ya russia na ukraine.

Unless you're sleep walking.
 
Mbowe na makundi yake wana taabu sanaa 🤣🤣🤣

Waje kuandamana huku nyumbani Tanzania kwani Wamarekani hawatoweza kuwasaidia lolote katika hoja yao ya katiba mpya 🤣🤣

#Siempre JMT🙏

MACCM WAJINGA SANA!!!! Mnaweweseka nini?
Kwa wenzetu maandamano ni suala la kawaida tu. Hapa mnakuwa hamna raha kwa hao mnaosema sijui watu 20, sijui Wakongo etc.
ENIWEI - MESSAGE HAS BEEN SENT - LOUD AND CLEAR.
 
Watoto wa kishua wanaandamana kutafuta mambo mazuri ya kitaifa nyie wanyonge mmelala tu.

Si ajabu wakawa watoto wa kishua wanajua what life means.
 
Wangeandamana 1000 sijui ingekuwaje. 20 tu wanawatoa jasho
 
Watoto wa kishua wanaandamana kutafuta mambo mazuri ya kitaifa nyie wanyonge mmelala tu.

Si ajabu wakawa watoto wa kishua wanajua what life means.
Kama wangekuwa wanajua maana ya kutafuta mambo mazuri ya kitaifa basi wasingekimbilia huko nje kwa watu weupe waliohangaika kwa mamia ya miaka kujenga kwao.
Badala yake kama wangekuwa wanajua maana ya kujenga taifa basi na wao wangebaki hapahapa nyumbani wajenge taifa lao, au wewe ushawahi kumuona mmarekani ameandamana u.s. embassy tanzania?

Wanachofanya hapo ni kazi bure na kuigiza tu, waje waandamane pale ikulu wakidai katiba mpya. then hapo tutajua wapo serious.
 
🙏🙏🙏
 
hahahaha imenibidi nicheke nikikumbuka ile interview ya Kikeke wa BBC na Mama Samia juu ya katiba mpya.
Mama akamchenjia Kikeke, watz wamekutuma?
Alipaniki. Alitegemea maswali kama ya wale waandishi wa lumumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…