Unataka kulazimisha watu mahali pa kutafuta maisha?
 
Unataka kulazimisha watu mahali pa kutafuta maisha?
Mimi sijaongelea mahali pa kutafuta maisha hayo umesema wewe sasa hivi.
Bali ulikuwa unaongelea kuhusu kutafuta mambo mazuri ya kitaifa.

Sasa nakuuliza ulishawahi kuona mmarekani ameandamana u.s embassy Tanzania akipigania equality Marekani?
Americans wamejenga taifa lao wakiwa ndani ya taifa lao but this is a moot.
 
Embu tuyalete maandamano hayo hapa nyumbani sasa yatakuwa na nguvu zaidi.
 
MACCM WAJINGA SANA!!!! Mnaweweseka nini?
Kwa wenzetu maandamano ni suala la kawaida tu. Hapa mnakuwa hamna raha kwa hao mnaosema sijui watu 20, sijui Wakongo etc.
ENIWEI - MESSAGE HAS BEEN SENT - LOUD AND CLEAR.
🤣🤣🤣

Biden na serikali yake wako busy na "Putin".....

Endeleeni kutwanga maji kwenye kinu🤣🤣
 
Hao ni mamluki tu hawana issue wala impact yoyote kwa Tanzania. Ni vibaka tu hao!
 
Kweli tupu
 
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Mbona mnaogopa sana katiba mpya..?kwani shida nini hasa?

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nilivyosikia waandamanaji nikajua mitaa flani imefungwa huko US,kumbe wabwia unga kadhaa tu.
Na wewe akirudi beba bango andika anaupiga mwingi mjikusanye hapo jnia...its a free world kila mtu ana haki ya kusema kile ambacho anaona kinafaa kikubwa hajavunja sheria.

By the way watu wakihitaji katiba mpya mbona hua mnakasirika sana...shida nini?

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…