Watanzania wameyakataa kabisa majiko ya umeme, hivi ni ujinga au ushamba?

Serikali ishushe bei ya Umeme kama ilivyoahidi baada ya uzarishaji wa Bwawa la Umeme kuanza.

Hakuna mtu aliyetuambia DSTV ni ghari tujiunge na Azam....!
Sisi wenyewe tunajua Umeme ni gharama Kwa Maisha ya Mtanzania wa kawaida...!

Labda kama unafanya biashara ya Majiko ya Umeme.
 
Bei ya umeme sio kubwa kivile ni ulimbukeni wa watu wengi tu mkuu ​
 
Mkuu bado unachemsha maji?tafuta water purifier
 

Attachments

  • Screenshot_20250801_080148_Instagram.png
    1.3 MB · Views: 26
Bei ya umeme sio kubwa kivile ni ulimbukeni wa watu wengi tu mkuu ​
Jiko la umeme kwa namna yoyote ni simple ,tatizo unaweza kunywa uji na dagaa badala ya ya ugali na dagaa .
Hawa TANESCO hanawa consistency nzuri ,kuna kipindi wanazingua; umeme unakata sana hovyo ..Ila umeme naona fresh tu ,hata ukiweka wa 50k kwa mwezi unajumuisha vitu vyote kwa nyumba ya kawaida.
 
Bei ya umeme sio kubwa kivile ni ulimbukeni wa watu wengi tu mkuu ​
Nchi kama South Africa Gas ya kupikia ndiyo imeanza kutumika hivi karibuni, familia nyingi za hari ya Chini zinatumia Umeme kupikia, Umeme Kwa ajiri ya heater n.k

Gas imeanza kutumika Kwa Watu wa kipato Cha kati na Cha juu...!
Means Watu wa chini wanaweza kumudu kutumia Umeme kupikia.

Juzi Wife katumia Umeme kupikia maharage, sijui hakupata mkaa Sina hakika, nilikuja kupiga hesabu katumia sio chini ya Unit 3.

Matumizi ya Umeme ya familia ya kawaida ni zaidi ya gharama unazoziweka, hakuna mtu ambaye hapendi nafuu, ukiona Watu hawaamasiki, ujue gharama ni zaidi ya Gas.
 
Pesa zetu, upange cha kuzinunulia wewe!!

Tena na unatutukana kabisa. Mnunulie mama yako na ndugu zako wqnatosha.

Huyu jamaa amenifanya nimelia sana hadi nimekosa nguvu za kwenda kuwafundisha wanafunzi wangu wa Sm Sabasaba
 
tuacheeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…