Pre GE2025 ‘Watanzania wanyonge’ wataka Paul Makonda agombee na kupewa Urais 2030

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tatizo lako jingine ni jina ulilonalo.
 
Nyota njema huonekana asubuhi

Mwenyezi Mungu aendelee kumjaalia zawadi ya uhai, afya na siha njema mpaka wakati huo muafaka 🔥👊💪
 
Acha kumchafua Mheshimiwa kwa vimaneno vya kuokoteza visivyo na ushahidi wa aina yoyote ile.kama una ushahidi wa hayo uzungumzayo nenda mahakamani ukafungue mashitaka na utoe ushahidi wako wa kutisha ili aje kujibu hoja zako uchwara.
Mahakama zipi, hzi za makada wa ccm? Mahakama ziko Kenya. Kwenye nchi ambayo hata CDF anasema Kuna viongozi wakimbizi na hakuna hatua yoyote inachukuliwa, hapo Kuna mahakama za kufanya chochote?
 
Hao watanzania wanaomtaka makonda ni watanzania wa aina Gani. Siyo wale wanaotaka kuwa wanyonge zaidi kweli?
 
Nyota njema huonekana asubuhi

Mwenyezi Mungu aendelee kumjaalia zawadi ya uhai, afya na siha njema mpaka wakati huo muafaka 🔥👊💪
Mheshimiwa Makonda hazuiliki kwa mkono wa mwanadamu maana Mungu ameamua kumuinua kwa mkono wake Mwenyewe. CHADEMA watakimbilia mapangoni huko.maana hawatakuwa na hoja mbele ya Mwamba Mwenyewe Paul Makonda
 
Tanzani kuwa mnyonge ni sifa na Kuna watu wanajivunia kuwa wanyonge kama jpm alivyotaka kila mtanzania awe mnyonge
 
wameshapotea mapoya hao wangwana,

hawana na hawawezi kujenga wala kutetea hoja tena,
ni mihemko, mitusu na kuzira tu ndicho walichobaki nacho🤣

wana weweseka, wanaumia kupindukia
 
Tanzani kuwa mnyonge ni sifa na Kuna watu wanajivunia kuwa wanyonge kama jpm alivyotaka kila mtanzania awe mnyonge
Mtu anaweza akawa bilionea lakini akaitwa mnyonge kutokana na kuonewa na viongozi wa taasisi fulani .mfano kubambikiwa kesi,kukadiliwa mapato yasiyo na uhalisia ,kuporwa mali bila utaratibu,kufungiwa biashara bila utaratibu kwa uonevu tu. Kwa hiyo mtu wa aina hii akikosa wa kumsemea lazima afe kwa mawazo na presha au msongo wa mawazo.ili kumlinda mtu wa namna hii ili apate haki ni lazima atokee mtetezi wa wanyonge kama alivyo Mheshimiwa mama Samia au Paul Makonda. Ndio maana tunahitaji sana watu aina ya Makonda watakowatetea watu bila haya wala aibu wala kuchelewa.tubahitaji watu wakuwasemea wanyonge wa aina hii.
 
wameshapotea mapoya hao wangwana,

hawana na hawawezi kujenga wala kutetea hoja tena,
ni mihemko, mitusu na kuzira tu ndicho walichobaki nacho🤣

wana weweseka, wanaumia kupindukia
Ndio maana wenye akili Timamu wote na wenye kujitambua wanaendelea kuikimbia CHADEMA.huko watabakia wasiojitambua aina ya Mdude Nyagali watu ambao muda wote wamejifukiza moshi kichwani
 
Mbona makonda ndo alikuwa mnyanganyi Sasa kipindi Cha jpm na kuwabambika watu kesi ili awachomoe hela. Ndo mana ana mahrkalu kule madale amepangisha wazungu tu karibu na shule ya mother of mercy na karibu na kituo Cha polisi
 
Weka ushahidi wa hayo unayozungumza. Maana hizo habari za kuchafua watu huwa mnapenda sana kuzifanya halafu mkiambiwa muweke ushahidi mnaanza kutoa macho tu.
 
Weka ushahidi wa hayo unayozungumza. Maana hizo habari za kuchafua watu huwa mnapenda sana kuzifanya halafu mkiambiwa muweke ushahidi mnaanza kutoa macho tu.
Nenda kule madale karibu na nyumba zake utapata ushahidi wote.
 
na anavuta sana cha arusha yule jamaa 🤣
Si unaona anavyotoaga macho na namna anachoongea bila breki wala mtiririko wa kueleweka utafikiri gari lililokatika breki mteremkoni.yule jamaa ni mfuasi mkubwa sana wa chaarusha.huku anafahamika vyema kwa hiyo tabia ya kujifukiza mmea
 
Halafu mtu kama huyu unakuta anampiga vijembe Mwijaku na Baba Levo na wakati kiuhalisia wote hawana tofauti na inawezekana hata hao jamaa wamemuacha jamaa mbali sana. Kama umeamua kuwa chawa kuwa wa faida mtatumika vibaya mpaka mchoke
 
Weka ushahidi wa hayo unayozungumza. Maana hizo habari za kuchafua watu huwa mnapenda sana kuzifanya halafu mkiambiwa muweke ushahidi mnaanza kutoa macho tu.
manyumbu yakiwa twisted kidogo tu yote yanaelekea ukouko ata kama motoni 🤣

yanapotoshwa na kupotoshwa kabsaa kirahisi sana,

Hana ushahidi na hawezi hata kujieleza huyo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…