Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema baadhi ya watanzania watokanao na chama cha mapinduzi. Jifunze public writing and speaking because it is both science qnd artsHakuna cha mchezo mchezo wala nini.habari ndio hiyo kuwa Watanzania wanamhitaji Mheshimiwa Paul Makonda awe Rais wao.
Nimezaliwa na wazazi ambao ni makada nguli wa CCM, nimekulia humu tangu chipukizi, uvccm hadi leo nipo wazazi na Taifa. Nalipia ada zangu za uanachama tena hivi sasa kwa kadi ya elecytonic. Ingawa mnakusanya hela zetu kila wakati kwa hadaa ya kadi za electronic ambazo tangu zoezi lianze hatujawahi luziona wala kusikia zipo zaidi ya kupewa namba tu.Tangia lini na wewe umekuwa CCM na mwana CCM Ndugu yangu msanii
Hiyo misaada na mikopo ya masharti nafuu nikatika kuongezea na kukamilisha pale tulipoanza na kuhitaji kwenda kwa kasi zaidi. Pia tambua yakuwa huwezi kupewa mkopo au mikopo kama huaminiki na huna uwezo wa kulipa mkopo husika. Tanzania tunapewa mikopo kwa kuwa tuna uwezo wa kulipa mikopo tunayokopa kujenga miradi ya kimkakati na miradi ya huduma za kijamii kwa ajili ya watanzania.Are you sure? Mbona wewe ni mjinga hivi?
Viongozi wako kila siku wanasema mama anazunguka duniani kutafuta hela- huku extent ya embezzlement ikipaa kila siku na hakuna anayewajibishwa. Wewe ndio kila siku unasifia kwamba tanzania imepewa misaada tanzania imepewa mikopo- hujitambui
Mzee umepuyanga,kazi ya hamasa na kujenga chama annaiweza ila sidhani kama mamlaka zinataka kurudi awamu kama ya 5 bila kujalisha nyie Wanyonge mnataka au laa.Ndugu zangu Watanzania,
Uchapakazi wa Mheshimiwa Makonda, ujasiri wake, uzalendo wake, kujitoa kwake kutetea wanyonge, ushupavu na umadhubuti wake umewakosha na kukonga mioyo ya watanzania mitaani .ambao kwa sasa wana kiu ya kutaka kuona Paul Makonda anagombea urais na kuchaguliwa kwa kishindo kumpokea kijiti cha urais Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan mwaka 2030.
Sauti zinaendelea kupazwa na wananchi kupitia mitandao ya kijamii,vyombo vya habari ,sauti za wananchi vilingeni na magengeni kuona kuwa siku moja Taifa hili linawekwa mikononi mwa Paul Makonda kama mkuu wa nchi, kiongozi wa serikali na Amiri jeshi mkuu wetu.kutokana na kuona namna anavyo chapa kazi bila kuchoka wala kupumzika wala kupata hata muda wa kula chakula cha mchana.muda wote yupo kazini kuwasikiliza wananchi kwa unyenyekevu na upole wa hali ya juu sana na kuchukua hatua papo kwa papo kwa kuwaita watu wa serikali kutoa majibu.
Nami naunga mkono kuwa ili kazi nzuri anazofanya Mheshimiwa Rais ziwe na muendelezo mzuri na kuendelea kwa kasi hii hii ,basi ni vema mwaka 2030 kumpa ushirikiano na kumuunga mkono Paul Makonda kushika nchi. Kwa hakika ndugu zangu nawaambieni ya kuwa kwa huyu Mwamba na jasiri kuwahi kutokea kusini mwa jangwa la sahara hakika nchi itakwenda mchaka mchaka katika maendeleo. Maendeleo yatakimbia kwa kasi na kukimbizwa kama mashindano ya mbio ndefu,.watumishi wa umma watachapa kazi kama nyuki,cheo kitakuwa dhamana na wananchi watabaki mabosi huku kila mtu akifurahia kuzaliwa Tanzania kama ilivyo sasa chini ya uongozi wa Rais Wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama Samia Suluhu Hasssan.
Jiulize kama leo ni Mwenezi wa chama anaitetemesha na kuiteka nchi kiasi hiki kwa uchapa kazi wake .vipi Tukimpa Urais ili aendeleze pale alipoishia mama yetu mpendwa na mchapa kazi aliyetukuka? Kwa sababu ni lazima Anapotoka mchapa kazi kama mama Samia tukakikishe Nchi inakwenda katika mikono ya mchapa kazi na jasiri aina ya Makonda ili kazi zisisimake na kusua sua..
Tanzania inamhitaji sana Mheshimiwa Paul Makonda 2030 kuliko wakati mwingine wowote ule. Ndio maana jana nilisema alindwe kwa nguvu zote na gharama zozote zile ili aje kutupatia matokeo makubwa na Chanya Watanzania. Tuendelee kumuombea afya njema tu.
Ni lazima Makonda aandaliwe na kuwekwa tayari kwa nafasi za juu maana amejaliwa kipawa na Kalama ya uongozi kutoka kwa Mwenyezi Mungu.nyote mnajionea namna kifua chake kilivyojaa ujasiri wa hali ya juu. Angalieni namna mchaka mchaka unavyopigwa huko kwenye ziara zake,angalieni namna watu nyuso zao zilivyo na tabasamu zimuonapo Paul Makonda ,angalieni namna watu wanalivyo na imani na matumaini na Mheshimiwa Makonda. Hapo hata mwaka mmoja tu hajamaliza ofisini.
vipi akipewa miaka kumi kama Rais wa nchi? Mnafikiri Tanzania hiii ya Rais wetu mpendwa Mama Samia itakuwa wapi? Ikumbukwe kwanza atakuta kazi kubwa imefanywa na Mheshimiwa Rais mama Samia,Ambapo atakuta umeme ni wa uhakika baada ya kuwa tayari bwawa la mwalimu Nyerere limeshakamilika.mnafikiri nani ataipita kiuchumi Tanzania Hii yenye rutuba nzuri ya kutosha na yenye kukubali kila aina ya mazao,yenye mlima mrefu barani Afrika,yenye mbuga za wanyama wa kila aina,yenye madini ya Tanzanite yanayopatikana Tanzania pekee,yenye madini ya kutosha karibu kila ukanda,yenye rasilimali watu ya kutosha,yenye mito,maziwa na bahari kwaajili ya kilimo cha umwagiliaji na hata usafiri wa majini.
Yenye bandari kila kanda,yenye faida ya kuzungukwa na nchi zaidi ya saba ambazo zinategemea kupitishia mizigo yao katika bandari yetu,yenye misitu mingi kwaajili ya kutengenezea vitu vya aina mbalimbali badala ya kuagiza nje na hivyo kupunguza hazina ya pesa za kigeni.mnafikiri Tanzania ya kijana jasiri na imara mwamba Paul Makonda itakuwaje?
Mnafikiri Tanzania ya Makonda yenye utajiri wa makaa ya mawe ya kutosha ,vivutio vya utalii ,Kimondo cha pili kwa ukubwa Duniani baada ya kile cha Marekani, hamuoni Tanzania hiyo itatiririsha maziwa na asali katika mabomba yake kwa kila kaya? Kumbuka kwa sasa anacho fanya Rais Samia anaweka mazinginra mazuri ya kiuchumi ambapo ni wakati huo wa Urais wa Makonda miradi ya kimkakati itakuwa imeanza kutoa na kuleta faida.
Tujiandae kumpa nchi Mheshimiwa Paul Makonda mwaka huo wa 2030 ili Dunia ikae chini na kuishangaa Tanzania ikipaa kama ndege vita kiuchumi ,na kupokea wageni watakao kuwa wanapanga foleni na kupishana pale airport wakija kuitembelea Tanzania na kujifunza.
Pual Makonda chapa kazi sana kaka yangu.mama amekuamini na anaimani na matarajio makubwa sana kutoka kwako.chama tunakuamini sana na tuna matarajio makubwa sana kutoka kwako.chapa kazi na kila upitapo waambie wananchi na watanzania mambo makubwa aliyoyafanya mama yetu na Rais wetu Mama Samia.waeleze mabillioni aliyoyapeleka Katika maeneo yao.waambie kila mwezi mama yao na Rais wao anatoa zaidi ya Billion 33 ili watoto wao wasome bure.
Waambie Rais wao ametiririsha zaidi ya Trilioni sita katika Secta ya Afya pekee,waambie Rais wao ameongeza bajeti ya kilimo kufikia Billion mia tisa tisini ili wakulima wapate pembejeo kwa bei nzuri,waambie mama yao ameagiza zaidi ya tani laki moja za sukari kuja kuingiza sokoni,waambie mama yao anawapa mikopo wanafunzi wote wa elimu ya juu wenye sifa bila ubaguzi.waambie mama yao ametoa maelfu ya ajira kwa vijana na muda siyo mrefu anakwenda kumwaga mitaani zaidi ya elfu ishirini na tatu katika Secta ya Elimu na afya.
Waambie watumishi wa umma wachape kazi maana mama yao yupo pamoja nao na ataendelea kuwaongeza misharaha na kuwalipa madai yao ,lakini nao wahakikishe kuwa wanachapa kazi kwa bidii na uadilifu wa hali ya juu na wasifanye kazi kwa mazoea. Waambie mama amefanya mengi ambayo huwezi kumaliza kuyataja.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Maana naona anatiririka tu wala haangalii uelekeoBora umemwambia, hivi vitoto siy kabisa.
Hujajibu hoja mzee naona unaendelea na ngonjera- na kwakua hujui hata kanuni za chama unaamua kuanza kampeni mapema wakati hata (the sanctioned hajaota hizo ndoto) meanwhile kasome katiba sifa za mtu kuwa Rais wa JMT- kwahiyo tunapopewa msaada kwenye elimu Bure sisi tulianza kuotoa bure eti? Au hujui kwamba hizo ni fedha za msaada! Tunapopewa msaada wa condom sisi tulianza eti? Bushi alipotusaidia hela za vyandarua na kutujengea kiwanda sisi tulianza eti! Unajua vyanzo vya mapato ya serikali kwanza au unadhania Dhani tu! Mtafute kafulila alufundishe namna ya kuandika mada mtandaoni zikubalike na zipate critical comments and constructive comments. Vinginevyo utaendelea kuwalamba miguu ukidhani wanakuonaHiyo misaada na mikopo ya masharti nafuu nikatika kuongezea na kukamilisha pale tulipoanza na kuhitaji kwenda kwa kasi zaidi. Pia tambua yakuwa huwezi kupewa mkopo au mikopo kama huaminiki na huna uwezo wa kulipa mkopo husika. Tanzania tunapewa mikopo kwa kuwa tuna uwezo wa kulipa mikopo tunayokopa kujenga miradi ya kimkakati na miradi ya huduma za kijamii kwa ajili ya watanzania.
Makonda ndiye Rais wetu kuanzia 2030
Mbona kidogo I'd yako ifanane na yake. Mkuu fanya editing please pleaseMnyonge ni babaako
Huoni kuwa unajichanganya sana rafiki yangu.unasema hakuna uhuru halafu hapo hapo unasema utaipinga sana CCM ukiwa ndani humohumo.sasa kungekuwa hakuna uhuru ungepata wapi nafasi ya kupinga? Kwanini unakuwa na mawazo ya namna hiyo ya kujichanganya kama nyumbu wa CHADEMA?Nimezaliwa na wazazi ambao ni makada nguli wa CCM, nimekulia humu tangu chipukizi, uvccm hadi leo nipo wazazi na Taifa. Nalipia ada zangu za uanachama tena hivi sasa kwa kadi ya elecytonic. Ingawa mnakusanya hela zetu kila wakati kwa hadaa ya kadi za electronic ambazo tangu zoezi lianze hatujawahi luziona wala kusikia zipo zaidi ya kupewa namba tu.
Ninaipinga CCM kwa sababu imeamua kukumbatia majizi, mafisadi, wezi na wahalifu kwa kuwapa nafasi kushika nafasi za juu za chama.
Chama kimetumia rasilimali zake kuasisi ukombozi wa Afrika na kilichoambulia ni kuoga yale yote iliyoyapinga enzi za ukoloni, ubeberu na ubaguzi.
Unadhani Tanzania ipo huru chini ya CCM? Hapana hata kidogo.
Angalia sheria zinazozuia raia kukosoa viongozi wanapofanya vibaya. Wale wanaosifia na kuwatukana wasio viongozi wanapewa kipaumbele na teuzi juu.
Sitoki CCM, nitaipinga nikiwa humu humu
Kungekuwa na uhuru nisingetumia ID ya Msanii Kuibua hoja zangu.Huoni kuwa unajichanganya sana rafiki yangu.unasema hakuna uhuru halafu hapo hapo unasema utaipinga sana CCM ukiwa ndani humohumo.sasa kungekuwa hakuna uhuru ungepata wapi nafasi ya kupinga? Kwanini unakuwa na mawazo ya namna hiyo ya kujichanganya kama nyumbu wa CHADEMA?
CCM na serikali yake imefanya kazi kubwa kubwa sana katika kuliletea maendeleo Taifaetu .kuanzia Katika Elimu, afya, maji, umeme, barabara,ajira,n.k.jiulize wakati tunapata uhuru tulikuwa na shule ngapi za sekondari na leo zipo ngapi jiulize hali ya barabara za lami zilikuwahe wakati huo na leo hali ipoje? Jiulize tulikuwa na wasomi wangapi wa shahada na vyuo vikuu vilikuwa vingapi na leo hali ipoje? Jiulize vijiji vingapi vilikuwa na umeme na leo hali ipoje? Jiulize ulikuwa unatumia muda gani kutoka Mbeya mpaka Dar au Mbeya mpaka rukwa na leo unatumia muda gani?
Una matatizo ya macho au?Mbona kidogo I'd yako ifanane na yake. Mkuu fanya editing please please
Kauli kama hizi sio sawaNdugu zangu Watanzania,
Uchapakazi wa Mheshimiwa Makonda, ujasiri wake, uzalendo wake, kujitoa kwake kutetea wanyonge, ushupavu na umadhubuti wake umewakosha na kukonga mioyo ya watanzania mitaani .ambao kwa sasa wana kiu ya kutaka kuona Paul Makonda anagombea urais na kuchaguliwa kwa kishindo kumpokea kijiti cha urais Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan mwaka 2030.
Sauti zinaendelea kupazwa na wananchi kupitia mitandao ya kijamii,vyombo vya habari ,sauti za wananchi vilingeni na magengeni kuona kuwa siku moja Taifa hili linawekwa mikononi mwa Paul Makonda kama mkuu wa nchi, kiongozi wa serikali na Amiri jeshi mkuu wetu.kutokana na kuona namna anavyo chapa kazi bila kuchoka wala kupumzika wala kupata hata muda wa kula chakula cha mchana.muda wote yupo kazini kuwasikiliza wananchi kwa unyenyekevu na upole wa hali ya juu sana na kuchukua hatua papo kwa papo kwa kuwaita watu wa serikali kutoa majibu.
Nami naunga mkono kuwa ili kazi nzuri anazofanya Mheshimiwa Rais ziwe na muendelezo mzuri na kuendelea kwa kasi hii hii ,basi ni vema mwaka 2030 kumpa ushirikiano na kumuunga mkono Paul Makonda kushika nchi. Kwa hakika ndugu zangu nawaambieni ya kuwa kwa huyu Mwamba na jasiri kuwahi kutokea kusini mwa jangwa la sahara hakika nchi itakwenda mchaka mchaka katika maendeleo. Maendeleo yatakimbia kwa kasi na kukimbizwa kama mashindano ya mbio ndefu,.watumishi wa umma watachapa kazi kama nyuki,cheo kitakuwa dhamana na wananchi watabaki mabosi huku kila mtu akifurahia kuzaliwa Tanzania kama ilivyo sasa chini ya uongozi wa Rais Wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama Samia Suluhu Hasssan.
Jiulize kama leo ni Mwenezi wa chama anaitetemesha na kuiteka nchi kiasi hiki kwa uchapa kazi wake .vipi Tukimpa Urais ili aendeleze pale alipoishia mama yetu mpendwa na mchapa kazi aliyetukuka? Kwa sababu ni lazima Anapotoka mchapa kazi kama mama Samia tukakikishe Nchi inakwenda katika mikono ya mchapa kazi na jasiri aina ya Makonda ili kazi zisisimake na kusua sua..
Tanzania inamhitaji sana Mheshimiwa Paul Makonda 2030 kuliko wakati mwingine wowote ule. Ndio maana jana nilisema alindwe kwa nguvu zote na gharama zozote zile ili aje kutupatia matokeo makubwa na Chanya Watanzania. Tuendelee kumuombea afya njema tu.
Ni lazima Makonda aandaliwe na kuwekwa tayari kwa nafasi za juu maana amejaliwa kipawa na Kalama ya uongozi kutoka kwa Mwenyezi Mungu.nyote mnajionea namna kifua chake kilivyojaa ujasiri wa hali ya juu. Angalieni namna mchaka mchaka unavyopigwa huko kwenye ziara zake,angalieni namna watu nyuso zao zilivyo na tabasamu zimuonapo Paul Makonda ,angalieni namna watu wanalivyo na imani na matumaini na Mheshimiwa Makonda. Hapo hata mwaka mmoja tu hajamaliza ofisini.
vipi akipewa miaka kumi kama Rais wa nchi? Mnafikiri Tanzania hiii ya Rais wetu mpendwa Mama Samia itakuwa wapi? Ikumbukwe kwanza atakuta kazi kubwa imefanywa na Mheshimiwa Rais mama Samia,Ambapo atakuta umeme ni wa uhakika baada ya kuwa tayari bwawa la mwalimu Nyerere limeshakamilika.mnafikiri nani ataipita kiuchumi Tanzania Hii yenye rutuba nzuri ya kutosha na yenye kukubali kila aina ya mazao,yenye mlima mrefu barani Afrika,yenye mbuga za wanyama wa kila aina,yenye madini ya Tanzanite yanayopatikana Tanzania pekee,yenye madini ya kutosha karibu kila ukanda,yenye rasilimali watu ya kutosha,yenye mito,maziwa na bahari kwaajili ya kilimo cha umwagiliaji na hata usafiri wa majini.
Yenye bandari kila kanda,yenye faida ya kuzungukwa na nchi zaidi ya saba ambazo zinategemea kupitishia mizigo yao katika bandari yetu,yenye misitu mingi kwaajili ya kutengenezea vitu vya aina mbalimbali badala ya kuagiza nje na hivyo kupunguza hazina ya pesa za kigeni.mnafikiri Tanzania ya kijana jasiri na imara mwamba Paul Makonda itakuwaje?
Mnafikiri Tanzania ya Makonda yenye utajiri wa makaa ya mawe ya kutosha ,vivutio vya utalii ,Kimondo cha pili kwa ukubwa Duniani baada ya kile cha Marekani, hamuoni Tanzania hiyo itatiririsha maziwa na asali katika mabomba yake kwa kila kaya? Kumbuka kwa sasa anacho fanya Rais Samia anaweka mazinginra mazuri ya kiuchumi ambapo ni wakati huo wa Urais wa Makonda miradi ya kimkakati itakuwa imeanza kutoa na kuleta faida.
Tujiandae kumpa nchi Mheshimiwa Paul Makonda mwaka huo wa 2030 ili Dunia ikae chini na kuishangaa Tanzania ikipaa kama ndege vita kiuchumi ,na kupokea wageni watakao kuwa wanapanga foleni na kupishana pale airport wakija kuitembelea Tanzania na kujifunza.
Pual Makonda chapa kazi sana kaka yangu.mama amekuamini na anaimani na matarajio makubwa sana kutoka kwako.chama tunakuamini sana na tuna matarajio makubwa sana kutoka kwako.chapa kazi na kila upitapo waambie wananchi na watanzania mambo makubwa aliyoyafanya mama yetu na Rais wetu Mama Samia.waeleze mabillioni aliyoyapeleka Katika maeneo yao.waambie kila mwezi mama yao na Rais wao anatoa zaidi ya Billion 33 ili watoto wao wasome bure.
Waambie Rais wao ametiririsha zaidi ya Trilioni sita katika Secta ya Afya pekee,waambie Rais wao ameongeza bajeti ya kilimo kufikia Billion mia tisa tisini ili wakulima wapate pembejeo kwa bei nzuri,waambie mama yao ameagiza zaidi ya tani laki moja za sukari kuja kuingiza sokoni,waambie mama yao anawapa mikopo wanafunzi wote wa elimu ya juu wenye sifa bila ubaguzi.waambie mama yao ametoa maelfu ya ajira kwa vijana na muda siyo mrefu anakwenda kumwaga mitaani zaidi ya elfu ishirini na tatu katika Secta ya Elimu na afya.
Waambie watumishi wa umma wachape kazi maana mama yao yupo pamoja nao na ataendelea kuwaongeza misharaha na kuwalipa madai yao ,lakini nao wahakikishe kuwa wanachapa kazi kwa bidii na uadilifu wa hali ya juu na wasifanye kazi kwa mazoea. Waambie mama amefanya mengi ambayo huwezi kumaliza kuyataja.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Nitasema kweli Daima fitina kwangu mwiko!Nimezaliwa na wazazi ambao ni makada nguli wa CCM, nimekulia humu tangu chipukizi, uvccm hadi leo nipo wazazi na Taifa. Nalipia ada zangu za uanachama tena hivi sasa kwa kadi ya elecytonic. Ingawa mnakusanya hela zetu kila wakati kwa hadaa ya kadi za electronic ambazo tangu zoezi lianze hatujawahi luziona wala kusikia zipo zaidi ya kupewa namba tu.
Ninaipinga CCM kwa sababu imeamua kukumbatia majizi, mafisadi, wezi na wahalifu kwa kuwapa nafasi kushika nafasi za juu za chama.
Chama kimetumia rasilimali zake kuasisi ukombozi wa Afrika na kilichoambulia ni kuoga yale yote iliyoyapinga enzi za ukoloni, ubeberu na ubaguzi.
Unadhani Tanzania ipo huru chini ya CCM? Hapana hata kidogo.
Angalia sheria zinazozuia raia kukosoa viongozi wanapofanya vibaya. Wale wanaosifia na kuwatukana wasio viongozi wanapewa kipaumbele na teuzi juu.
Sitoki CCM, nitaipinga nikiwa humu humu
Mheshimiwa Makonda atatufaa sana rafiki na ndugu yangu choice variable.suala la kudumu hapa Duniani linabaki mikononi mwa Mwenyezi Mungu mwenyewe.maana unaweza usiwe na msimamo wa kizalendo na bado ukafa mapema kabisa na kuwaacha wengine. Lakini ni bora ukafanya kazi kubwa na ya kizalendo na kuandikwa jina kwako kwa wino wa dhahabu katika mioyo ya watu na kukumbukwa vizazi na vizazi.Mzee umepuyanga,kazi ya hamasa na kujenga chama annaiweza ila sidhani kama mamlaka zinataka kurudi awamu kama ya 5 bila kujalisha nyie Wanyonge mnataka au laa.
Na hapo unakuwa humpendi huyo Makonda Kwa sababu watu wenye kaliba yake ya msimamo mkali na wasiopenda kukosolewa Huwa ni disaster sana na hawadumu eg Lumumba,Sokoine, Mwendazake etc.
They are more emotionally unstable
Huo ni kutokana na upeo wako.Maneno meengi lakino yote ni upupu tu
Labda nikusaidie ametumia jukwaa huru la jamii Forums ambalo "we dare to talk" kesho kamwambie Rais analea wabadhirifu uone kama utakaa uraiani! Wewe ni mjinga na sijui kwanini huwa hufikiri! Moja wapo ya ahadi za mwanaccm ni kuwa "Binadamu wote ni sawa'" sasa unapoita kundi la watu fulani Nyumbu kisa hamfanani mtizamo na itikadi hufai kuwa hata mwanachama wa ccm. Kwa maana unapomfananisha binadamu mwenzio na mnyama ni rahisi kuutwaa uhai wake! Na tukisema ninyi ni miongoni mwa kikundi cha watu wachache ndani ya chama kisichothqmini uhai wa binadamu hili linajidhihirisha wazi.Huoni kuwa unajichanganya sana rafiki yangu.unasema hakuna uhuru halafu hapo hapo unasema utaipinga sana CCM ukiwa ndani humohumo.sasa kungekuwa hakuna uhuru ungepata wapi nafasi ya kupinga? Kwanini unakuwa na mawazo ya namna hiyo ya kujichanganya kama nyumbu wa CHADEMA?