Pre GE2025 ‘Watanzania wanyonge’ wataka Paul Makonda agombee na kupewa Urais 2030

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa hiyo wewe ndio CHAWA rasmi wa Paul Makonda a.k.a DAUDI ALBERT BASHITE?
 
Mimi nimesema hoja za ukweli kabisa tofauti na wewe ambaye unamuita mwanaume kuwa ni mwanamke.je unaona upo sawa ndugu yangu Dolphin T?
 


Rais wako
 
Maendeleo sio nadharia au vitu vya kufikirika- maendeleo ni Tangible issues na yanaonekana huhitaji kutumia nguvu kubwa kuyasemea! Baba akijenga nyumba nzuri hana haja ya kuitisha kikao cha watoto kuwaeleza kuwa yeye ndio amejenga! Kwa sababu wanaona juhudi zake- so we don't need kumsemea the so called mama- yule ni Rais wa nchi anayesimamia serikali na sio kwamba anafanya kwa hisani no! Because the government is having a contract with a public under her control! Muite Rais ili akikosea uweze kumwajibisha.

Waziri mkuu wa uingereza Magreth Thatcher hakuwahi kuitwa Mother bali PM. Huu upumbavu wenu wa kuwafanya viongozi kuwa sehemu ya familia ndio unawapa ugumu kuwawajibisha pale wanpokosea.
 
Ni Rais wa watanzania mwaka 2030.tuombe uzima utayakumbuka maneno haya pale Mheshimiwa Makonda atakapokuwa anaapishwa.
Nimechekea chooni! Wewe ndio cc ya chama au?
Nikwambie kitu Luca! Mojawapo ya changamoto ya chaguzi za Tanzania ni kwamba chama kinaleta mtu wanaomtaka wao na kuwalazimisha wananchi watchable na sio mtu ambae wananchi wanamtaka! Fungua ubongo acha kufikiri kwa kutumia makalio ashakum sio matusi
 
Mkuu huyo na elimu yake ya MEMKWA hawezi kuelewa yeye akili yake inamtosha kuvukia barabara,kuvaa nguo na kwenda chooni tu si zaidi ya hapo.
 
Mimi nimesema hoja za ukweli kabisa tofauti na wewe ambaye unamuita mwanaume kuwa ni mwanamke.je unaona upo sawa ndugu yangu Dolphin T?
Uwongo ukisemwa sana mwishowe unakua ukweli! Respond to the facts! Mwalimu aliposema kuna wanasiasa wana tabia za kimalaya malaya hukumaanisha kuwa wanaisasa hao ni malaya wanaojiuza la haha. And so your writtings reflects a woman who tries to romanticise her husband why shouldn't I refer you to a woman basing on your writtings bwana Luca.
 
Kila mtanzania mwenye akili Timamu na asiye kipofu wa akili na macho anaona kazi kubwa iliyofanywa na serikali ya CCM chini ya uongozi shupavu,imara na madhubuti wa Rais Dr Mama Samia Suluhu Hasssan.ukienda kwenye Elimu unakuta kazi kubwa imefanywa mpaka sasa wanafunzi wote wanaokuwa wamefaulu kidato cha kwanza wanaripoti wote kwa wakati mmoja, kwa kuwa serikali imejenga vyumba vya madarasa ya kutosha,ukienda katika afya unaona namna serikali ilivyofanya mapinduzi makubwa katika sekta ya afya,vituo vya afya kila sehemu.ndio maana leo inafika hatua mpaka nchi inapeleka madaktari bingwa nchini zambia kutoa huduma na kufanya upasuaji wa moyo kwa watoto chini ya umri wa miaka 15,leo huduma zilizokuwa zinapatikana katika hospitali ya Apollo
kule india unaona zikipatika hapa hapa nchini.

Kila utakakokwenda na kila Secta unaona hatua kubwa na mafanikio makubwa yamepatikana .angaliia kwa sasa hata ile mikoa ambayo ilikuwa haijaunganishwa katika grid ya Taifa sasa zimeunganishwa na kupata mwanga wa umeme
 
Mkuu huyo na elimu yake ya MEMKWA hawezi kuelewa yeye akili yake inamtosha kuvukia barabara,kuvaa nguo na kwenda chooni tu si zaidi ya hapo.
Hahaha hapana sidhani hivyo! Naamini elimu anayo ila ameamua kuiweka pembeni na kutumia sehemu ya ujinga kwa maana ya kivuli badala ya mwanga! Leo happy qkiteuliwa utaona uzi- subiri apandishe uzi wa upend penezq. Ila ungemwambia awaandikie wakiwa nje ya chama utashangaa na watu wakushangae! Huyu ni...
 
Mkuu huyo na elimu yake ya MEMKWA hawezi kuelewa yeye akili yake inamtosha kuvukia barabara,kuvaa nguo na kwenda chooni tu si zaidi ya hapo.
Mimi sina Elimu ya memkwa kama yako.mimi nipo vizuri kielimu , kifikra na kimaono.
 
Kama unampenda sana mzalie watoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…