waache wanayoiomba wataangalia nini wanakihitaji, watajifunza kwa wengine kama hao Kenya (kwamba shida ni iyo katiba mpya haikuwa mpya kweli ama walizingua wapi) na pia kama ni Odinga mwenyewe anazingua ama kitu gani kipo wrong watajifunza. ila nadhani sio kwa level ya uraisi tu, katiba mpya ni muhimu kwa utendaji wa serikali yetu, kwa maana kwa sasa nchi inakuwa inaendeshwa kwa busara tu ya anaekuwa kiongozi, akiamua kuiyumbisha anaiyumbisha anavyotaka na anakuja tena kugombea mi5 mingine na anapitaKenya hapo wanakatiba mpya lakini kila uchaguzi Odinga analalamika kuibiwa kura na kufanyiwa hujuma
Ila we mshkaj una upendo wa mshumaa balaa. Sawa, wewe wasema inabidi wakuongezee per diem , nitalipiganiaNdugu zangu watanzania,
sauti za mamilioni ya Watanzania ni kiu Yao ya kuhitaji utumishi wa Rais Samia mpaka 2030, watanzania wengi wameguswa na uchapakazi wa Rais Samia, wametekwa mioyo Yao na kazi za Rais Samia ambazo zimeleta Tabasamu na Taswira mpya ya kimaendeleo katika Taifa letu.
watanzania kwa wingi wao hawaoni sababu ya kupoteza mamilioni ya Fedha kwa ajili ya kuchapisha karatasi za nafasi ya Urais wakati utendaji kazi wa Rais Samia umejibu maswali ya Watanzania na kukata kiu Yao ya muda mrefu ya kuhitaji Rais mchapa kazi, mzalendo, msikivu, Jasiri, imara, madhubuti, shupavu, mwenye maono Sera na ajenda za kugusa maisha Yao.
Watanzania wanajiuliza wamtoe na kumnyima Rais Samia kura ili wampe Nani? Aje afanye nini kipya ambacho hajafanya Rais Samia? Aje na ajenda na Sera zipi ambazo Rais Samia hajazigusa katika maisha Yao?
Wanajiuliza kipi ambacho Rais Samia hajatekeleza ama kukigusa katika yote waliyoyahitaji watanzania?
Wanajiuliza kwanini wasimpe muhula wa pili Rais Samia ili aendeleze kazi njema aliyoianza ya kuijenga nchi yetu? Kwanini wamnyime Kura zao wakati muda wote amekuwa akizungumza ajenda zao?
watanzania wanamuona Rais Samia Kama mkombozi wao katika kuwakwamua kiuchumi,wanamuona Rais Samia Kama kiongozi mwenye uthubutu mkubwa Sana na ujasiri wa Hali ya juu katika kusimamia maslahi ya Taifa letu,wanaona namna Rais Samia alivyojitoa na kujitolea kulitumikia Taifa letu kwa moyo wa uzalendo, wanaona juhudi za Rais Samia katika kujenga uchumi jumuishi unaomgusa kila mtanzania pasipo kumwacha yeyote nyumaa,wanaona namna alivyotuvusha katika nyakati ngumu mpaka hapa alipotufikisha ambapo kila mtanzania Anayo matumaini makubwa Moyoni mwake ya kutimiza Ndoto zake.
Ndio sababu ya Watanzania kumhitaji Rais Samia Kuendelea kuwaongoza, Watanzania wanahitaji Rais Samia abakie ikulu Kama Rais wao na Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama,wanahitaji kuona Rais Samia akiendelea kuwatumikia na hawaoni sababu ya kuona Rais Samia akizunguka mikoani kuomba kura wakati kazi zake kupitia miradi mbalimbali inaonekana kwa kila mtanzania, Hivyo wanaona muda wa kampeni abakie ikulu akichapa kazi na kuwahudumia watanzania kwa kuwapelekea maendeleo yanayogusa maisha yao.
Kazi Iendeleee , mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627
Mimi silipwi kuandika hapa Bali naandika kwa uzalendo wangu kuwakilisha mawazo ya Watanzania kutoka mtaaniIla we mshkaj una upendo wa mshumaa balaa. Sawa, wewe wasema inabidi wakuongezee per diem , nitalipigania
Hahahahaahhaaha kakosa U_DC juzi ikabidi a-mute kwanzaIla we mshkaj una upendo wa mshumaa balaa. Sawa, wewe wasema inabidi wakuongezee per diem , nitalipigania
Acha ujinga babu, uende mbinguni.Naongea ukweli wa sauti za watanzania kutoka mitaani
😆😆😆😆 Kwani Nani kakwambia kuwa hii Ni barua ya maombi ya uteuziEti mamilioni ya watanzania!
Hata huyo unayemsifu kinafiki atashituka kwa upuuzi wako huu uliandika hapa jukwaa la siasa na teuzi hutapata, jinga sana wewe.
Lete code ya mtaa wako na uje pia kijijini kwetu uchukue maoniMimi silipwi kuandika hapa Bali naandika kwa uzalendo wangu kuwakilisha mawazo ya Watanzania kutoka mtaani
Hapo Lumumba ndipo mitaani? Chawa mmekuwa wapumbavu sana.Naongea ukweli wa sauti za watanzania kutoka mitaani
😆😆😆 Sipo lumumba Mimi,Nipo mtaani nilikofanya utafiti huoHapo Lumumba ndipo mitaani? Chawa mmekuwa wapumbavu sana.
Endelea kuweka namba ipo siku utakumbukwa
Husjekuta nabishana na yule Askari wa Zanzbar!Utake usitake Rais Samia ndiye chaguo la watanzania,Rais Samia Ni mwanamichezo ndio maana unaona akitoa hamasa kwa Timu zetu ,ambapo hatua hiyo ilileta hamasa kwa wachezaji wote na kupelekea kupata ushindi dhidi ya Tp mazembe walipocheza na yanga pamoja na vipper's waliochapwa na Simba aliyeungurumia Uganda na kuwalaza waganda na viatu
Sijawahi sifia CCM hata siku moja,Ila wewe jamaa. Enzi za Jiwe ulikuwa unaisifia CCM humu.
Nimewapata mitaani wanakoishiHao Watanzania.anaozunguzia amewapata wapi ?.Huyu ni chawa ambaye anafukuzia teuzi.
Labda Bibi yako ndio akalee watoto wako,Ila sisi watanzania tunampenda Rais wetu na tunamuunga mkono na tunahitaji utumishi wake Hadi 2030Ingefaa umshauri huyo bibi 2025 akalee wajukuu tu mimi binafsi na familia yangu hatumkubali
Unaishi mtaa ganiNaongea ukweli wa sauti za watanzania kutoka mitaani
Hatogombea 2025Ndugu zangu watanzania,