Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Wanaukumbi.
Watanzania wawili na raia mmoja wa Africa Kusini ni miongoni mwa mateka 224 wanaoshikiliwa na Hamas baada ya mashambulizi ya Oktoba 7 nchini Israel, serikali ya Israel inasema.
Hakuna hata mmoja kati ya hao watatu aliyetajwa.
Mamlaka ya Tanzania hapo awali ilikuwa imethibitisha kuwa raia wake wawili hawajulikani walipo. BBC imezungumza na familia ya mmoja wao, Joshua Mollel, ambaye alikuwa mwanafunzi wa kilimo kwenye mojawapo ya eneo makazi lililolengwa .Wageni kutoka nchi 25 kwa jumla wanazuiliwa na Hamas, Israel inasema.
Chanzo BBC