Mzee Kijana
JF-Expert Member
- Nov 25, 2011
- 1,442
- 1,140
Israel pamoja na ubabe wote huo na kulipua tani nyingi za mabomu bado wameshindwa kuwakomboa mateka katika eneo dogo tu la Gaza! Yaani pamoja na misaada ya silaha na fedha kutoka kwa mabeberu Israel hakuna cha maana walichokifanya zaidi ya kuua raia wasio na hatia. Yaani HAMAS kikundi cha wanamgambo tu kinawatoa kamasi siku wakiingia vitani na Iran si itakuwa balaa!