Serikali ya Israel pamoja na ubalozi wa Tanzania nchini Israel vimethibitisha kuwa miongoni mwa mamia ya watu waliochukuliwa mateka na magaidi ya kipalestina (HAMAS) wakati wa shambulio baya la kigaidi huko kusini mwa Israel, wapo watanzania wenzetu wawili na raia mmoja wa Afrika Kusini.
Sio mara ya kwanza hawa watu wanatuchoma kisu mgongoni licha ya kuwaunga mkono kwa miaka mingi katika harakati zao za kutaka uhuru na hata kuwaruhusu kufungua ubalozi wao hapa kwetu.
Katika vita ya Kagera hawa mabwana walikwenda kipigana upande wa Nduli.
Kuna sababu ya kwanini hata mataifa ya Kiarabu kama Misri hawataki wakimbizi wa kipalestina, hawa jamaa wamejaa ugaidi ugaidi mno. Serikali ya Egypt ililazimika hadi kupiga marufuku chama cha Muslim Brotherhood kwakuwa kilikuwa na mafungamano na kundi la Hamas na mwenendo wa siasa kali za kigaidi.
Tanzania tuwatake hawa wapalestina wawaachie watu wetu mara moja, kinyume chake tuwatimue hapa kwetu na kufuta kabisa mahusiano nao.
South Africa has not commented on reports its national was seized, along with the unnamed Tanzanians.
www.bbc.com