Watanzania wawili ni miongoni mwa mateka wa Hamas, yasema Israel

Watanzania wawili ni miongoni mwa mateka wa Hamas, yasema Israel

Tunaomba Hamas muwaachie vijana wetu bila kuwadhuru. Bakini na walengwa wa ugaidi wenu.

Balozi amesema walikuwa na ishu gani huko karibu na makazi ya Hamas (maeneo karibu na mpaka wa gaza)
Sio majususi wa Isreal lkn? Kama hana hatia wataachiwa maana muislam mkorofi pale tu ukiichezea dini yake
 
Israel hamna lolote wewe kwa bato la chini,acha kuichukulia poa jwtz,hai idf mpaka Leo wanaogopa kuingia Gaza wanabomoa majumba tu kwa ndege,kila wakitia pua wananyolewa
Wewe unafahamu urban warfare au unaongea tu kwa kuwa una ulevi wa dini.
 
Tayari wameshadhurika kwa kutekwa
Wameshsumizwa hidia na waweza kuwa hata wamepata ugonjwa wa moyo

Hamas wanawatumia kama Human Shield i

Sasa watanzania wenzetu wale washabikia Hamas waone hilo.kunfi.lilivyo ovu wanatutekea hata watu wetu
Na ndio maana hadi Sasa IDF bado wanawaza wanaingiaje Gaza na kuokoa mateka bila kuwadhuru maana majamaa ya Hamas yamejificha nyuma ya wanawake na watoto
 
Bali wakirudi katika Dini ndio watapata ushindi. Hata hawa Hamas pia bado hawajasimama sawa kidini. Nje ya Dini (Uislam wa Sawa kama alivyokuja nao Mtume Swala na Salamu ziwe juu yake na wakaufuata Maswahaba zake Radhi za Allah ziwe juu yao) wapalestina hawatowashinda mayahudi na kukaa kwa utulivu pale.

Walipokuwa wanapigania haki zao katika mavuguvugu ya kisekula waliikomboa Al-Aqsa? Hawatopata ushindi wapalestina muda wa kuwa wanapigania haki zao kwa kutumia usekula au uarabu.
Hamas si waliahidi kuwa watakuwa wanachinja Kila mateka na kurusha video hewani Hadi Israel aache kurusha makombora ghaza!!!


Vipi hali huko ?

Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
 
Na walaaniwe na Allah hawa mayahudi mazayuni waliolaaniwa, maadui wa Allah na maadui wa Mitume. Ambao wanaua wanawake na watoto na watu wanyonge kabisa. Bali kwao kuua wanawake na watoto ni jambo dogo ukizingatia wazee wao waliwaua baadhi ya Mitume wa Allah na walijaribu kuwaua baadhi ya Mitume wengine (Amani iwe juu yao Mitume). Na hawa vizazi vyao ni waovu zaidi kwa sababu wengi wao hawa wa sasa wanakanusha hata uwepo wa Allah. Allah awaharakishie adhabu yao kama alivyowaahidi kuwaletea adhabu kila wanaporudi katika ufisadi na uharibifu.
Vita ni piga nikupige

Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
 
Israel pamoja na ubabe wote huo na kulipua tani nyingi za mabomu bado wameshindwa kuwakomboa mateka katika eneo dogo tu la Gaza! Yaani pamoja na misaada ya silaha na fedha kutoka kwa mabeberu Israel hakuna cha maana walichokifanya zaidi ya kuua raia wasio na hatia. Yaani HAMAS kikundi cha wanamgambo tu kinawatoa kamasi siku wakiingia vitani na Iran si itakuwa balaa!
Kwani wale raia wa Israel waliouawa na Hamas Wana hatia gani?
 
Two Tanzanians and a South African are among the 224 hostages being held by Hamas after the 7 October attacks in Israel, the Israeli government says.
Basi hapo wakenya wanatuonea donge wanatamani nao wangetekwa na mabroo wa hamas
 
Wewe unafahamu urban warfare au unaongea tu kwa kuwa una ulevi wa dini.
Kwa hiyo ikiwa urban warfare..ndiyo Israel anakua Bora!?.. urban warfare unapiga risasi watu Wana makombeo na manati!
 
Kwa hio Israel wameingiliwa kinguvu? Maana yake wamebakwa na wavaa kobazi au sio?
20230715_185413.jpg
 
Huko nako wabongo wapo wanasebenza na life,wabongo
Wako kila sehemu duniani

Ova
 
Back
Top Bottom