Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Huyo Allah atakua katili sana. Amewatuma HAMAS wakaue waisrael na wengine kuchukuliwa mateka halafu wakishushiwa kipondo wanaona wanaonewa.Na walaaniwe na Allah hawa mayahudi mazayuni waliolaaniwa, maadui wa Allah na maadui wa Mitume. Ambao wanaua wanawake na watoto na watu wanyonge kabisa. Bali kwao kuua wanawake na watoto ni jambo dogo ukizingatia wazee wao waliwaua baadhi ya Mitume wa Allah na walijaribu kuwaua baadhi ya Mitume wengine (Amani iwe juu yao Mitume). Na hawa vizazi vyao ni waovu zaidi kwa sababu wengi wao hawa wa sasa wanakanusha hata uwepo wa Allah. Allah awaharakishie adhabu yao kama alivyowaahidi kuwaletea adhabu kila wanaporudi katika ufisadi na uharibifu.
Dogo vita haina macho, hao magaidi ni wapelestina na siku zote ukishirikiana na mwizi nao ni mwizi.
Mchuma janga hula na wa kwao.