Watanzania wawili ni miongoni mwa mateka wa Hamas, yasema Israel

Watanzania wawili ni miongoni mwa mateka wa Hamas, yasema Israel

Wao wenyewe wanasoma habari kama mimi na wewe..tu

OIG (16).jpeg
 
Israel hamna lolote wewe kwa bato la chini,acha kuichukulia poa jwtz,hai idf mpaka Leo wanaogopa kuingia Gaza wanabomoa majumba tu kwa ndege,kila wakitia pua wananyolewa
Sawa basi inama Nikusweke'
 
Wanaukumbi.

Watanzania wawili na raia mmoja wa Kusini ni miongoni mwa mateka 224 wanaoshikiliwa na Hamas baada ya mashambulizi ya Oktoba 7 nchini Israel, serikali ya Israel inasema.

Hakuna hata mmoja kati ya hao watatu aliyetajwa.

Mamlaka ya Tanzania hapo awali ilikuwa imethibitisha kuwa raia wake wawili hawajulikani walipo. BBC imezungumza na familia ya mmoja wao, Joshua Mollel, ambaye alikuwa mwanafunzi wa kilimo kwenye mojawapo ya eneo makazi lililolengwa .Wageni kutoka nchi 25 kwa jumla wanazuiliwa na Hamas, Israel inasema.

Chanzo BBC
Acha wateseke kwa ajili ya Allah. Alisema mvaa cobaz mmoja
 
Hivi jwtz wana craft carrier ya jeshi au uko israel watafika na matrack yao Fao, iveco nk,
Tunazo kama Aircraft Carrier 2 hivi, moja imepaki Zanzibar ukiwa pale Le Grand Bleu Sea Food ukatizama kwenye darubini utaona kuna carrier kubwa sana kwa mbaaali, pale ipo karibu na Matlai Mchanga Island.

Hii ya pili inatumia nishati ya nuclear, hii haijulikani ilipo japo ilishaonekana mara kadhaa bahari ya hindi.
 
Back
Top Bottom