Watanzania wawili ni miongoni mwa mateka wa Hamas, yasema Israel

Hakika watatoa kipigo kitakatifu na itakuwa fundisho kwa vikundi vingine vya kigaidi kuacha kufanya masihara kuchezea uhai au kuwabughudhi kwa namna yoyote ile raia wa Tanzania.
Italijengea heshima Taifa
 
Pole sana
 
Nimeandika hivyo kwa sababu

1. Watanzania sio Wayahudi...
2. Kuna Wayahudi waliotekwa na wangali hai...
Kitendo cha kuvamia mahali, kuua na wengine kuchukuliwa mateka tayari huo ni ugaidi. Hapo haujaja kwa nia njema
Wanakuwaje salama wakati wamewateka watu?
Kumbe lile shambulio la ugaidi na wewe unaliunga mkono.
Mimi nije kwako niue mtoto wako na mkeo halafu nichukue baba mkwe, na mama mkwe wako na rafiki zako halafu useme hao niliowateka wapo salama?
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Unawajua magaidi wa kiislamu walivyo? Tafuta clip ya kundi la kiislamu la Islamic State (ISIS) la Syria lilivyochinja watu.
 
Sio majususi wa Isreal lkn? Kama hana hatia wataachiwa maana muislam mkorofi pale tu ukiichezea dini yake
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Akiichezea dini yake?
Vita ya Sudan na Libya kumbe waislamu walikuwa wanagombania dini yao ya uislamu.
Hao ni magaidi, huwezi kwenda mahali ukateka, kuua na kuchukua mateka. Basi hiyo dini ya mwaarabu ni ya ovyo sana
 
Sio majususi wa Isreal lkn? Kama hana hatia wataachiwa maana muislam mkorofi pale tu ukiichezea dini yake
Wanagombea aridhi au dini mbona kama hata hujui unafunga mkono kitu Gani?
 
Tusubiri vita ya arzini ianze waistael maji wataita mee.
Waingie mjini muone ,siku mbili zilizopita wamejaribu kuingia wamefurushwa na wengine kuuliwa na wengine kuambulia vilema vya milele.
Tulieni kwenye luninga msubiri mechi ianze,huu upigaji kwa kutumia ndege za kijeshi hazina effect yeyote kwa askari wa miguu.
Jamaa wapo kwenye mahandaki wamejichimbia nakumbuka vita vya Uganda Nyerere alituelekeza tuchimbe mahandaki tuliopo kusini wakati vita ipo magharibi.
Vita si lele mama ,na haswa urban ambapo zaidi hutumika snipers ambao ni askari wanaofanana na mapakacha.
Watu wanauliza mbona hadi leo jamaa hawajaingia mitaa ya gezaulole ?
 
Kwa hiyo ikiwa urban warfare..ndiyo Israel anakua Bora!?.. urban warfare unapiga risasi watu Wana makombeo na manati!
Hamas wako wapi? Si waende wakawapige watu wanaowaulia wananchi wao kila siku kwa nini wanajificha kwenye mahandaki..!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hamas wako wapi? Si waende wakawapige watu wanaowaulia wananchi wao kila siku kwa nini wanajificha kwenye mahandaki..!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tunasubiri ground offence wiki ya tatu sasa
 
Wagaza ni vibaka mno washamuibia hadi iphone 13 ya Mollel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…