Watanzania wengi kweli tuna changamoto ya Afya ya akili

Tatizo lako we dogo una dharau sana ndio maana mishangazi ya tabata naachaga tu iende kwa wana wengine.
Mi nakupigia pande kila kona ila we miyeyusho
Sio miyeyusho mkuu..
Ngoja nikupe story mi mishangzi niliyo nayo sasa inatosha aiseee hao wa tabata hapana

Alafu kuna kitu naona unataka kukitengeneza hapa ambacho wee mwneyewe na bichwa hilo umeogopa πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Kuna za chini chini kua Tundazuri ni dume. Kalaghabaho
nimecheka kwa sauti mieee daaah πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ daaah weee vishu watakupiga ujue
 
Mtu anakupigia simu na namba ya Mtu mwengine sio ile ulioizoea.Unapokea unamuuliza Nani mwenzangu? Anakujibu Otea Mimi ni NaniπŸ˜‚πŸ˜‚
Mara nyingi hao ni madem au watoto waliozaliwa baada ya mwaka 1999 kiufupi anataka mfanane umriπŸ‘«
 
Nimeamini wagonjwa waakili wapo wengi so Poor brain usiwasikilize, kwani mm kuwa rafiki yako wanapungukiwa nini? Hebu wahudhurie clinic mapema
 
Mimi ni Mwanaume wa miaka
27 ,
Dini yangu , ni muslam.
naishi DAR
kazi yangu ni nimejiajili
elimu yangu ni DEGREE.

Natafuta mke mwenye SIFA zifuatazo ,

*awe muslam

*Awe anaishi dar
*awe ameajiliwa au anafanya biashara

awe na miaka kwanzia 20 adi 26.

*ALIYE TAYALI NA MWENYE SIFA HIZO ANIFUATE PM
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Utaipiga fake id, zaidi zaidi nitatukanwa tu.
 
Nimeamini wagonjwa waakili wapo wengi so Poor brain usiwasikilize, kwani mm kuwa rafiki yako wanapungukiwa nini? Hebu wahudhurie clinic mapema
Washamba hao..
Alafu mi hawanipi shida hao ndgu yangu so don't complicate na hao machizi kina Vishu Mtata
 
Hatuna waislam vichaa na dogo kila siku umri wako unabadilika leo 27 juzi ulikua na 25.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…