Yes,
ilikua 50k last two yrs gentleman.
sibabaika kusema ukweli kwenye mabandiko yanakuja kutafuta attention na huruma.
hua naeleza ukweli.
kuna uzembe hata wa kifamilia dhidi ya huyo mgonjwa.
Sukari ni maradhi ambayo ni endelevu sana, ambayo mgonjwa anafaa kua standby mno kwa kuzingatia clinic, vigezo na masharti.
Walipaswa ilipogundulika ana tatizo hilo tu, wajichange na wamkatie bima ya afya, kwasabb mgonjwa huyo hastahili msamaha wa matibabu kwasabb ndugu zake wenye uwezo wapo. Hilo hawakulifanya na ni kosa la kifamilia.
Fuatilia hata huyo mgonjwa mwenyewe au hao ndugu zake wana Infinix new model za laki8 but wanatafuta huruma ati wao ni maskini.
That's very wrong.
Tuzipe afya zetu kipaumbele.
Gunia moja la Alizeti hivi sasa ni laki1.5 uzeni mkate bima za afya za mwaka mzima ndrugu zango wadau 🐒