Watanzania wengi maskini wanafia ndani kwa kukosa matibabu

Wewe nawe kwa kutetea uozo. Sasa hapo unaona kuna familia yenye iPhone hapo? Hapa wanazungumziwa watu ambao hata hela ya kula ni shida.
Nimesoma hoja za huyo jamaa!!! Nihitimishe kusema tu kuwa ogopa kubishana na mpumbavu mwenye confidence
 
Sio wote mkuu huko vijijini walipata mazao waliyoweka stoo.

Labda kama wana mbuzi lakini hakuna ugonjwa mufilis kama kisukari. Waweza kuta hata mlo wa mgonjwa ni mtihani.
 
Sio wote mkuu huko vijijini walipata mazao waliyoweka stoo.

Labda kama wana mbuzi lakini hakuna ugonjwa mufilis kama kisukari. Waweza kuta hata mlo wa mgonjwa ni mtihani.
mwenyekiti moja wa kijiji huko mbeya aliliona hilo, hata akaamua kuwachangisha wananchi kidogo, akatafuta na wadau wa maendeleo na Serikali kwa ujumla,

akawakatia bima za afya wananchi wote katika kijiji anachokiongoza ili kuwapa unafuu wa gharama za afya ukilinganisha na ugumu wa maisha wanaopitia.

bima ya afya inaondoa unyonge na kuepusha msongo wa mawazo unapougua na huna chochote mfukoni 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…