Pre GE2025 Watanzania wengi wameanza kumfikiria Dr.Emmanuel Nchimbi kwa nafasi ya juu ya uongozi wa nchi tanzania baada ya Dr.Samia, kulikoni?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huu utafiti umeufanya lini? Tunaomba data.
ni rahisi sana,
zingatia maoni huru ya wadau kukamilisha na kuthibisha ukweli wa utafiti huo gentleman πŸ’
 
Nilimsahau huyu bwana....nadhani 2025 twende na Dr Nchimbi ....machawa jiandae kushinda bombambili.....
elezea kwa kina kifupi kidogo kwa faida ya wadau gentleman πŸ’
 
Labda awe CCM B.
CCM ile ya tarehe 05.02.1977 aliyoasisi Baba wa Taifa na wazalendo wenzake bado inaweza kutufikisha kule wa asisi wake walikokuwa wanatamani tufike. Tatizo imetekwa na wahuni na walafi walioitoa mikononi mwa Wafanyakazi na Wakulima. It is no longer a Mass Party as it used to be.
 
Dr Nchimbi yuko na msimamo, aliuonyesha tangu 2015 uteuzi wa Mgombea Urais ndani ya CCM ulitekwa kwa kuwepo mgombea wa upendeleo aliukataa waziwazi. Kama matendo ya Dr Nchimbi yataendana na matamko yako hakika 2025 ndio Rais material. Pia ni ME taifa litahitaji Rais Mwanaume mwenye hofu ya Mungu na anayekerwa na ufisadi na uvujaji wa mali ya umma.
 
uko sahihi hapo mwanzo,
ila sijaelewa hapo kwenye mananasi πŸ’
 
Mama tunweza kumsamehe kwa mapungufu yote yatakayokuwa yametokea kipindi chake endapo atatusaidia kumpata mtu anayeweza kuenea katika Viatu vyake akimaliza Muda wake, ingawa waliowengi mpaka sasa hatujajua ni lini.
 
Ncho

elezea kwa kina kifupi kidogo kwa faida ya wadau πŸ’
Mtanzania gani anamfikiria nchimbi? nchimbi mrija wa wajanja km bi tozo tuu,,TUNZA HII,,, 2025 wagombea wa CCM Rais Majaliwa na VP Dr. Tulia!!!
 
Infact,
ni kuanzia 2030 na si vinginevyo gentleman πŸ’
 
Naogopa Rafu za ndani kama alivyofanyiwa Gentleman Dr Salim na the so called Mtandao ambao baadae nao ulivurugana na kugeukana. Yule Mzee labda awe ametupisha ni mvurugaji.
ukimtazama na kumpima vizuri Dr Nchimbi, hivi kweli kuna mtu anaweza pambana nae kweli akiamua kusema ng'weee?πŸ’
 
Infact,
ni kuanzia 2030 na si vinginevyo gentleman πŸ’
Regardless, si kosa kuanzia kufikilia Options . Tabia ya kuokota wagombea bila kuwa andaa imetugharimu sana Nchi hii, Bila kujali anatoka Chama gani, we need Individual capability.
 
Ncho



Mtanzania gani anamfikiria nchimbi? nchimbi mrija wa wajanja km bi tozo tuu,,TUNZA HII,,, 2025 wagombea wa CCM Rais Majaliwa na VP Dr. Tulia!!!
una maoni na mtazamo huru mzuri pia ni vizuri ukaheshimiwa pia πŸ’
 
Watanzania ni wepesi wa kusahau, Nchimbi ana historia kuanzia umoja wa vijana, mmesahau sababu iliyomfanya mgombea mwanamke aliyejitoa kuwania uenyekiti wa umoja wa vijana wa ccm baada ya kuvamiwa Tabata.
Walio karibu naye akiwa mwenyekiti wa umoja wa vijana watakwambia vifo vya ajabu vya watu waliokuwa wakimpinga.
Hii inaonyesha wengi wameingiza siasa kwa mihemko na hawajuiadui wa upinzani ni nani.
Pia ni rahisi kubadilika kwa matamko tu...
 
Nilikuwa na Rafiki yangu mmoja ambaye alishiriki kinyanganyiro cha Ndani 2015 na kulinganisha na wengi walioshiriki, katika kuelezea Vision yake Live ITV, alionyesha kufanya vuzuri yeye na Prof Mhongo, ila baada ya kuwa amekabidhiwa Wizara Nyeti na akaja na some hurting Policies includuing Tozo za miamala ni kama ameharibu njia yake ye kuelekea kule. Ile Wizara katika Nafasi yake inamchonganisha na wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…