Pre GE2025 Watanzania wengi wameanza kumfikiria Dr.Emmanuel Nchimbi kwa nafasi ya juu ya uongozi wa nchi tanzania baada ya Dr.Samia, kulikoni?

Pre GE2025 Watanzania wengi wameanza kumfikiria Dr.Emmanuel Nchimbi kwa nafasi ya juu ya uongozi wa nchi tanzania baada ya Dr.Samia, kulikoni?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huu utafiti umeufanya lini? Tunaomba data.
ni rahisi sana,
zingatia maoni huru ya wadau kukamilisha na kuthibisha ukweli wa utafiti huo gentleman 🐒
 
Nilimsahau huyu bwana....nadhani 2025 twende na Dr Nchimbi ....machawa jiandae kushinda bombambili.....
elezea kwa kina kifupi kidogo kwa faida ya wadau gentleman 🐒
 
Labda awe CCM B.
CCM ile ya tarehe 05.02.1977 aliyoasisi Baba wa Taifa na wazalendo wenzake bado inaweza kutufikisha kule wa asisi wake walikokuwa wanatamani tufike. Tatizo imetekwa na wahuni na walafi walioitoa mikononi mwa Wafanyakazi na Wakulima. It is no longer a Mass Party as it used to be.
 
huu ni mwanzo mzuri kwa katibu mkuu wa CCM Dr. Emanuel Nchimbi baada ya maelezo yake yaliojaa hisia kali za uchungu, huruma ya kibinadamu na kukasirishwa na vitendo vya utekaji hususani dhidi ya utekaji na mauaji ya kikatili ya kamanda Ally Mohamed kibao kiongozi mwandamizi wa chadema..

Lakini pia ufafanuzi, msisitizo na maagizo yake kwa vyombo vya ulinzi na usalama dhidi ya kutekeleza maelekezo ya rais kuhusu uchunguzi wa haraka dhidi ya ukatili huo, na wito wake wa kiungwana sana kwa Chama, serikali na wananchi dhidi ya matukio hayo...

bila kujali vyama vyao vya kisiasa wengi wa waTanzani kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii, vyombo vya habari, kwenye mikusanyiko mbalimbali wamevutiwa na namna kutibu Mkuu huyu wa CCM alivyolichukulia Jambo hili la utekaji kwa uzito unaostahili..

na maoni ya wengi ni kwamba Dr Emanueli Nchimbi anafaa zaidi kushika hatamu za uongozi wa nchi baada ya Dr Samia Suluhu Hassan kuhitimisha ngwe yake ya pili 2030.

unadhani ni kwanini waTanzania katika umoja wao bila kujali itikadi za vyama vyao na misimamo yao ya kisiasa, wametokea kumkubalia, kumuamini na kudhani kwamba kiongozi huyu ni muafaka sana kwa nafasi ya juu ya uongozi wa nchi baada ya Dr Samia Suluhu Hassan atakapokamilisha ngwe yake ya pili uongozini kikatiba 2030?

Friends, ladies and gentlemen,
mmebadili mawazo ama tupo pamoja na SG Dr Emanuel Nchimbi sako kwa bako kuanzia 2030 na kuendelea?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Dr Nchimbi yuko na msimamo, aliuonyesha tangu 2015 uteuzi wa Mgombea Urais ndani ya CCM ulitekwa kwa kuwepo mgombea wa upendeleo aliukataa waziwazi. Kama matendo ya Dr Nchimbi yataendana na matamko yako hakika 2025 ndio Rais material. Pia ni ME taifa litahitaji Rais Mwanaume mwenye hofu ya Mungu na anayekerwa na ufisadi na uvujaji wa mali ya umma.
 
Ila Pia kwa Nafasi yake ya sasa, kila anachoweza kusaidia kushauri na kuelekeza tunatarajia asaidie mambo yasiendelee kuharibika kufikia ile Hatua ya yule Mzee ww kule wanakolima nanasi sana, aliyosema kuwa labda mambo ya kiharibika zaidi hapa Katikati.
uko sahihi hapo mwanzo,
ila sijaelewa hapo kwenye mananasi 🐒
 
Mama tunweza kumsamehe kwa mapungufu yote yatakayokuwa yametokea kipindi chake endapo atatusaidia kumpata mtu anayeweza kuenea katika Viatu vyake akimaliza Muda wake, ingawa waliowengi mpaka sasa hatujajua ni lini.
 
Ncho
huu ni mwanzo mzuri kwa katibu mkuu wa CCM Dr. Emanuel Nchimbi baada ya maelezo yake yaliojaa hisia kali za uchungu, huruma ya kibinadamu na kukasirishwa na vitendo vya utekaji hususani dhidi ya utekaji na mauaji ya kikatili ya kamanda Ally Mohamed kibao kiongozi mwandamizi wa chadema..

Lakini pia ufafanuzi, msisitizo na maagizo yake kwa vyombo vya ulinzi na usalama dhidi ya kutekeleza maelekezo ya rais kuhusu uchunguzi wa haraka dhidi ya ukatili huo, na wito wake wa kiungwana sana kwa Chama, serikali na wananchi dhidi ya matukio hayo...

bila kujali vyama vyao vya kisiasa wengi wa waTanzani kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii, vyombo vya habari, kwenye mikusanyiko mbalimbali wamevutiwa na namna kutibu Mkuu huyu wa CCM alivyolichukulia Jambo hili la utekaji kwa uzito unaostahili..

na maoni ya wengi ni kwamba Dr Emanueli Nchimbi anafaa zaidi kushika hatamu za uongozi wa nchi baada ya Dr Samia Suluhu Hassan kuhitimisha ngwe yake ya pili 2030.

unadhani ni kwanini waTanzania katika umoja wao bila kujali itikadi za vyama vyao na misimamo yao ya kisiasa, wametokea kumkubalia, kumuamini na kudhani kwamba kiongozi huyu ni muafaka sana kwa nafasi ya juu ya uongozi wa nchi baada ya Dr Samia Suluhu Hassan atakapokamilisha ngwe yake ya pili uongozini kikatiba 2030?

Friends, ladies and gentlemen,
mmebadili mawazo ama tupo pamoja na SG Dr Emanuel Nchimbi sako kwa bako kuanzia 2030 na kuendelea?🐒

Mungu Ibariki Tanzania

elezea kwa kina kifupi kidogo kwa faida ya wadau 🐒
Mtanzania gani anamfikiria nchimbi? nchimbi mrija wa wajanja km bi tozo tuu,,TUNZA HII,,, 2025 wagombea wa CCM Rais Majaliwa na VP Dr. Tulia!!!
 
Dr Nchimbi yuko na msimamo, aliuonyesha tangu 2015 uteuzi wa Mgombea Urais ndani ya CCM ulitekwa kwa kuwepo mgombea wa upendeleo aliukataa waziwazi. Kama matendo ya Dr Nchimbi yataendana na matamko yako hakika 2025 ndio Rais material. Pia ni ME taifa litahitaji Rais Mwanaume mwenye hofu ya Mungu na anayekerwa na ufisadi na uvujaji wa mali ya umma.
Infact,
ni kuanzia 2030 na si vinginevyo gentleman 🐒
 
Naogopa Rafu za ndani kama alivyofanyiwa Gentleman Dr Salim na the so called Mtandao ambao baadae nao ulivurugana na kugeukana. Yule Mzee labda awe ametupisha ni mvurugaji.
ukimtazama na kumpima vizuri Dr Nchimbi, hivi kweli kuna mtu anaweza pambana nae kweli akiamua kusema ng'weee?🐒
 
Infact,
ni kuanzia 2030 na si vinginevyo gentleman 🐒
Regardless, si kosa kuanzia kufikilia Options . Tabia ya kuokota wagombea bila kuwa andaa imetugharimu sana Nchi hii, Bila kujali anatoka Chama gani, we need Individual capability.
 
Ncho

Mtanzania gani anamfikiria nchimbi? nchimbi mrija wa wajanja km bi tozo tuu,,TUNZA HII,,, 2025 wagombea wa CCM Rais Majaliwa na VP Dr. Tulia!!!
una maoni na mtazamo huru mzuri pia ni vizuri ukaheshimiwa pia 🐒
 
Watanzania ni wepesi wa kusahau, Nchimbi ana historia kuanzia umoja wa vijana, mmesahau sababu iliyomfanya mgombea mwanamke aliyejitoa kuwania uenyekiti wa umoja wa vijana wa ccm baada ya kuvamiwa Tabata.
Walio karibu naye akiwa mwenyekiti wa umoja wa vijana watakwambia vifo vya ajabu vya watu waliokuwa wakimpinga.
Hii inaonyesha wengi wameingiza siasa kwa mihemko na hawajuiadui wa upinzani ni nani.
Pia ni rahisi kubadilika kwa matamko tu...
 
Nilikuwa na Rafiki yangu mmoja ambaye alishiriki kinyanganyiro cha Ndani 2015 na kulinganisha na wengi walioshiriki, katika kuelezea Vision yake Live ITV, alionyesha kufanya vuzuri yeye na Prof Mhongo, ila baada ya kuwa amekabidhiwa Wizara Nyeti na akaja na some hurting Policies includuing Tozo za miamala ni kama ameharibu njia yake ye kuelekea kule. Ile Wizara katika Nafasi yake inamchonganisha na wananchi
 
Back
Top Bottom