Pre GE2025 Watanzania wengi wameanza kumfikiria Dr.Emmanuel Nchimbi kwa nafasi ya juu ya uongozi wa nchi tanzania baada ya Dr.Samia, kulikoni?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wote hovyo hovyo tu. LAKINI Nchimbi afadhali sana sana kuliko huyu mama! She's absolutely hopeless!
 
Hawezi kuwa Perfect 100% ila ana much elements za kuwa Kiongozi na ni Mkakamavu na hayumbi kwa kile anachokiamini hata kama ni kupoteza uteuzi. Ndani ya Chama wanamjua na sisi tulioko nje tunamuona. Hutapata Mtu ambaye ana all required Compitence and qualifications 100% at least ana 75% na he is above most of the Faces available .
 
Ni kwa Mapenzi ya Mungu ndo maana tuko hapa tulipo.
Wote hovyo hovyo tu. LAKINI Nchimbi afadhali sana sana kuliko huyu mama! She's absolutely hopeless!
UVICCM ya akina enzi za Nchimbi ilikuwa na Vijana wazalendo na bahati nzuri walikuwa wanalelewa na Wazee wa Chama wa wakati huo wakati bado kiko mikononi mwa wenye jembe na Nyundo. Hiki cha sasa ni tatizo
 
Kampeni
 
Familia historia yake, wengi wengi mmeanza kufatilia siasa juzijuzi.
 
Aje CDM tutamfikiria.
 
Wanzania au wewe,tangu lini ukawa msemaji wa watanzania?,punguza uchawa
 
Ni hao hao watekaji na wauaji....
Chakushangaza zaidi aliyeleta hii thread ni chawa wa ccm!!!
 
Ni hao hao watekaji na wauaji....
Chakushangaza zaidi aliyeleta hii thread ni chawa wa ccm!!!
gentleman,
kwanini ukweli unakukasirisha hivyo aise na mihemko kabisaa dah πŸ’
 
Ni hao hao watekaji na wauaji....
Chakushangaza zaidi aliyeleta hii thread ni chawa wa ccm!!!
Tunachotafuta sisi wananchi ni kumpata Mtu mweye ujasiri na uthubutu na pia Mzalendo. Mbona JP alifumua mfumo aliposhika Madaraka. Kama Vyama vingine , CCM kama Chama hakijawahi kuwa ni tatizo. tatizo ni Watu wachache waliojimilikisha Chama hicho kutoka mikononi mwa wanachama. Katiba na Sera na Hata Ilani zake zote huwa ni nzuri but those who holds the positions and largely the Top Seat.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…