Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #61
Ni kweli wabongo tupo very slow kwenye utoaji wa huduma, utaona mhudumu anaacha foleni anaenda kula badala ahudumie haraka amalize ndo aende.
• majiono na majigambo ya watoa huduma wanajiona wao ni tabaka jingine hapa duniani, dharau kwa wateja aisee! Ni janga kwakweli
Kuna Baadhi ya Mapadre na Maaskofu ni wabovu kwenye kutunza muda , unakuta wanatangaza misa itafanyika saa nne wao wanafika eneo la tukio saa sita !
Mtu akizidisha dakika kumi za makubaliano naondoka hiyo sehemu.
Tunatokaje Mkuu?You are right 100% .yaani hata hotuba watanzania haweze kuongea kwa speed . Ni utamaduni mbovu ever.
Na hata kutembea barabarani utakuta mtu njia yote kakaba yeye anetembea pole pole utafikiri bank ana milioni 100 kumbe balance ni negative.
watanzania wengi hawapendi kujishughulisha wanataka kubembelezwa tu na kuomba misaada wkt nchi ina raslimali nyingi
Nchi ambayo wakijenga shimo la choo cha soko, wanamshukuru Mungu na wanamshukuru rais kuwapelekea pesa hawajui kama ni kodi zao hao unadhani wana akili timamu
Ukijaribu kufanya utafiti mzuri yote uliyoandika ni sawa na ukichunguza zaidi watu wanaishi na matatizo ya akili yaani unaweza kushangaa asilimia 50 watumishi wa umma wana matatizo ya akili hapo ndio utajua kwa nini hakuna maendeleo, hawajiulizi kwa nini sekta binafsi au mashirika binafsi yanaendelea na kudeliver vizuri lakini kwenye mashirika ya umma hakuna jipya
Nilifika Rita pale makao makuu kufuatilia cheti cha mwanangu.
Mapokezi wakanambia nifike floor namba x kisha nimuulizie mtu kwa jina x.
Kufika palw nikamkuta mzee mmoja kanuna nuna.
Nikamuulizia mlengwa.
Mimi: shkamoo mzee, namuulizia flan
Mzee: simjui (huku kanuna na hajaikia salamu yangu)
Mimi: nimeambiwa yuko ofisi hii
Mzee: mpigie simu (kafyumu kinoma)
(hapa sasa nikawa nishakereka maana naona dingi kakaa kisharishari tuu na mimi nina haraka zangu ikabidi niweke heshima pembeni kabisaa niwe na mimi jeuri maana hawa wazee wa siku hiz wengi washenzi)
Mimi: sasa mimi nampigiaje mtu simu na simjui.Nipe namba zake basi mbona umekaa kijeuri jeuri hivyo mzee wangu??? (Hapo niliongea kijeuri haswaa)
Mzee: unasemaje wewe?
Mimi: umesikia nilichisema .nipe namba yake nimtafute.
Mzee: unajua mimi ni nani?
Mimi: sina mpango wa kujua wewe nani maana hunisaidii kwa lolote lililonileta hapa.
Mimi siko hapa kwasababu yako ila wewe uko hapa kwasababub yangu mimi hivyo jifunze kuwa na asabu kwa wateja.Usitake kunyenyekewa kwa vitu ambavyo ni wajibu wako.
Yule mzee akanichekiii kisha akatoa namba.
Nikamaliza ishu zangu nikasepa
Mentality tu! Akija wakutupeleka mchaka mchaka hapa vitaanza vilio, litatengenezwa kundi via Msoga kuwa huyo dikteta, katili, muuaji na maneno kibao ili mradi agenda zao zipiteTuondoe mwenge kwanza, ule unatufanya tuwe magoigoi, na yule twiga tunayesema ni nembo ya taifa
Pale mambo kuwa slow ni pamoja na ukweli kuwa watumishi,(supporting staff) hawathaminiwi.Hili ni tatizo sugu kabisa hata pale UDSM wako very slow.
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Si unajua tena.ukipata kazi serikalini basi ndio mkataba wa maisha huoKazi nzuri Sana.
Jitu kama hilo hiyo ndio Dawa yake,
Wanapenda KUABUDIWA sijui Kwa nini?
Yaani wachache Sana uwakute wako Makini. Wengi wapo kupitisha siku ziende.Ni maneno ya ukweli yote.
Watz ni wapumbavu wasiosoma, waliosoma, wachawi, wasio wachawi, wakubwa, wadogo, wapagani, wenye dini. Ni upumbavu mwanzo, kati na mwisho.
Si unajua tena.ukipata kazi serikalini basi ndio mkataba wa maisha huo