Kama ana followers wengi ina maana ana kazi nzuri. Reputation ya timu inajengwa na timu yenyewe sio wapambe nje ya timu. Wa wapi wewe?Naona unajitoa ufahamu
Ana followers wengi hivyo huoni anaharibu reputation ya team? Na hasa habari za uongo? Unataka tuchekelee?
Inawezekana hapendi kuona ana wafuasi wengi bila kujielimisha amewatoa wapi.Kama ana followers wengi ina maana ana kazi nzuri. Reputation ya timu inajengwa na timu yenyewe sio wapambe nje ya timu. Wa wapi wewe?
Unatetea Ujinga[emoji706]Waandishi wakubwa kina George Job? Ushawahi msikia Kohler anamuongelea Miki hata siku moja? Au ushamsikia Miki anamuongelea Kohler hata siku moja? Kama anaharibu kazi yake wewe piga kimya umma utamuumbua sio kyanzisha kampeni za chuki namna. The way alivo jibrand ndio arakavyojiangusha. Utopolo isikitoe akili namna hiyo.
Shida sio kukosolewa,jamaa yy kitu positive kwa Yanga uwa aandiki ila inapokuja negative uwa anaandika kiushabiki,anachotakiwa asiandike chochote kuhusu yanga aone kama kuna mtu atamuattackYanga hamtaki kukosolewa mnataka kila mtu awasifie tena umeenda mbali mbona hapa bongo maulidi kitenge yupo kwenye payrolls ya yanga hajawahi kuiongelea simba kwa mazuri yaani kulalamika ni asili ya mashabiki na viongozi wa yanga mmechukua kombe la NBC PREMIER LEAGUE mfululizo ila siku akija kuchukua kombe simba utasikia karia simba yule tulipangiwa ratiba ngumu kubalini kukosolewa watani ndio mpira ulivyo yule kaka yake Dickson job kila siku anaitukana simba mbona simba wapo kimya tu.
OKKama ana followers wengi ina maana ana kazi nzuri. Reputation ya timu inajengwa na timu yenyewe sio wapambe nje ya timu. Wa wapi wewe?
Na kwa hizo tabia zao za maneno ya ajabuajabu tukiwa kwenye mijadala ya kimataifa huwa wanatutia aibu sana.Hadi unaamua kukaa pembeni na kucheka tu.
Yule mserbia hadi leo hajalipwa pesa zake,ila kidau nae kitu cha Yanga fasta anapost,juzi hapa imekuja taarifa tff inadaiwa na kampuni ya vifaa vya michezo,kidau mpaka leo hajapost ileHuo si mchezo ilikuwa wanafanya yanga hao wachezaji uliowataja wote walikuwa wapo nyuma ya yanga wamepeleka zuio kwamba ni wachezaji wao swali la kujiuliza kwa nn ni wachezaji wa Tanzania tu kwa nini wachezaji wakigeni hawana mgogoro na simba timu hizo zote ukiangalia zinadhaminiwa na GSM.
Shida ndugu zangu mbumbumbu hawawezi kuelewa hili najaribu kumuelewesha TAI DUME na Moisemusajiografii ila unajua mbumbumbu tena walivyo hawataki kustukaShida sio kukosolewa,jamaa yy kitu positive kwa Yanga uwa aandiki ila inapokuja negative uwa anaandika kiushabiki,anachotakiwa asiandike chochote kuhusu yanga aone kama kuna mtu atamuattack
Na wewe anzisha ya kwako uwe unaandika mafanikio ya utopolo tu bila negative attitude.Utapata followers.OK
Reputation tumeijenga wenyewe halsfu wewe utoe negativity tu huoni unaipindisha?
Anasema yeye ni ukweli na uhakika mbona ni uongo tu? Kuhusu yanga
Kuhusu followers mbona hujiulizi insta account yake ilipigwa ban kahamia Facebook?
Hilo nalo ni la kuhoji? Yanga, Azam, Coastal walikuwa wanashiriki michuano ya CAF na ndio maana zimechelewa kuanza michezo ya ligi. Lakini tulishuhudia Simba na Yanga zote zikiwa zinashiriki michuano ya klabu na hatua sawasawa ila timu moja ikiendelezea viporo tu.Simba kacheza mechi mbili yanga hajacheza hata mechi moja kama angeanza yanga kucheza na simba afuatie ungesikia kelele zake ila kulia kupokezana mbona enzi za malinzi yanga ilikuwa inabebwa dhahiri na simba walivumilia au kila siku mnatoa muwe nyinyi tu utopolo.
Kwa kawaida insta au sosho media watu wakikureport unafungiwa kwa ajili ya uchunguzi. Nachojua utopolo walihamasishana wakaenda kwenye page zake wakabonyeza report button. Lkn imeshafunguliwa. Na hapo ndo naposeka utopolo hawajielewi.OK
Reputation tumeijenga wenyewe halsfu wewe utoe negativity tu huoni unaipindisha?
Anasema yeye ni ukweli na uhakika mbona ni uongo tu? Kuhusu yanga
Kuhusu followers mbona hujiulizi insta account yake ilipigwa ban kahamia Facebook?
Uongo unakusaidia nini sasa?Utopolo wanatia aibu sana kwenye mitandao ya kijamii. Waliivamia page ya malumo na kuanza kuwasifua kisa walikuwa wanataka skudu. Waliivamia page ya aursburg ya ujeremani na kuwatukana kisa wamefungwa. Waliivamia ya mayele kumtukana kisa anaondoka.
Watu wanakureport bila sababu?wakikureport unafungiwa kwa ajili ya uchunguzi.
Na hicho ndicho Miki anachofanya. Soon baada ya uongozi wa Yanga kumtaka hasiandike habari za Yanga akaacha. Ila huwa anaandiia affairs personal za wachezaji wa Yanga. Mfano isho ya mzize anateport upande wa ofa inayotolewa kumtaka mzize na sio majibu ya Yanga kumzuia mzize. Hutaona popote ame8taja utopolo.Shida sio kukosolewa,jamaa yy kitu positive kwa Yanga uwa aandiki ila inapokuja negative uwa anaandika kiushabiki,anachotakiwa asiandike chochote kuhusu yanga aone kama kuna mtu atamuattack
Chuki nayo ni sababu. Au wewe unaona chuki ya utopolo dhidi ya Miki sio sababu ?Watu wanakureport bila sababu?
Imerudishwa lakini kawekeza nguvu Facebook why?
Umbumbumbu siyo tu kutamka fulani yupo hivyo.Tunaona mawazo yako,andika yako na hàta mahitimisho yako tu.Shida ndugu zangu mbumbumbu hawawezi kuelewa hili najaribu kumuelewesha TAI DUME na Moisemusajiografii ila unajua mbumbumbu tena walivyo hawataki kustuka
Chuki bila sababu?Chuki nayo ni sababu. Au wewe unaona chuki ya utopolo dhidi ya Miki sio sababu ?
Mbona ni wagumu kumsoma mtu? Yule ni shabiki wa Simba wala sio mwandishi wa habari. Ukimfatilia Fabrizio, Kõhler na Adams, n.k utaona wana utofauti mkubwa sana na micky kwenye uwasilishaji wa taarifa zao za michezo. Angalia idadi ya followers utaona kaachwa mbali sana na Mghana mwenzie tu Adams, ukiangalia wanaom follow micky wengi ni watanzania ambao ni mashabiki wa Simba.Shida sio kukosolewa,jamaa yy kitu positive kwa Yanga uwa aandiki ila inapokuja negative uwa anaandika kiushabiki,anachotakiwa asiandike chochote kuhusu yanga aone kama kuna mtu atamuattack
Wewe jamaa bhana eti personal affairs.Na hicho ndicho Miki anachofanya. Soon baada ya uongozi wa Yanga kumtaka hasiandike habari za Yanga akaacha. Ila huwa anaandiia affairs personal za wachezaji wa Yanga. Mfano isho ya mzize anateport upande wa ofa inayotolewa kumtaka mzize na sio majibu ya Yanga kumzuia mzize. Hutaona popote ame8taja utopolo.